Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

Unaziongelea hisia za watu as if ni za kwako. Mwanaume ataachwa kwasababu yoyote Ile mke akitaka. Nani kasema mwanaume haachwi kwasababu ya usaliti? Ni maamuzi ya mke akitaka kumuacha amuache..wapo wengi tu wameachwa kwasababu hiyo.
 
Labda kama ni uchumba lakn Ndoa Yenye watoto..
Ni mawazo Tu
Unaziongelea hisia za watu as if ni za kwako. Mwanaume ataachwa kwasababu yoyote Ile mke akitaka. Nani kasema mwanaume haachwi kwasababu ya usaliti? Ni maamuzi ya mke akitaka kumuacha amuache..wapo wengi tu wameachwa kwasababu hiyo.
 
We nae mfyuuuu zako....[emoji19]
 
POLE SANA!!Sisi wanaume sio wote tuliumbwa kuishi na mke mmoja sema hizi dini zindanganya sana!!!Kuwa na mke mmoja ni mpango wa wazungu wa njia ya uzazi wa mpango !hakuna jipya!!Sema kina mama kipengele hicho kimewaingia sana coz ya wivu wenu!!!SIKU MKIANZA KUTUTAFUTIA MICHEPUKO MTAKUWA NA AMANI NDOANI!!!
 
Uamuzi wa kuachana ama kutoachana,uko mikononi mwenu nyie wawili,jambo la msingi ni je ndoa yenu imeharibika kiasi ambacho haiwezi kurekebishika?,je mnao uvumilivu kwa kiasi gani juu ya hayo mliyotendeana?je ni uamuzi upi ambao utakuwa na faida kwenu na watoto wenu?kati ya kuachana na kusamwheana?
 
Mumeo alifumaniwa akaliwa kiboga?
 
Unayo ndoa lakini?
 
Nakushauri vumilia na samehe, madhara ya kuondoka ni makubwa kuliko hayo.
 
Nieleze pm nikushauri.
 
Kavumilie tu kukaa na mumeo kwa ajili ya wanao sista. Wengi tu wanavumilia hizi ndoa sababu ya watoto
 
Kwakweli kuelezea kila kilichotekea nitareaveal identity za watu...ila kikubwa ni usaliti uliovuka mipaka..na yaliyotokana na usaliti ndio mazito zaidi...naombeni msaaada juu ua uzoefu wenu...mimi na mume wangu hatuwezi kurudi kama mwanzo...
Huo ni msalaba wako na sharti uufikishe Goligota
 
Nimelike kabla sijamaliza kusoma.

Mwanamke kauli...

Utani unaoakisi ukweli kutoka kwa mwanamke wako unaumiza sana.

Wachache wanaweza take it easy
 
Huyu mtoa mada asipo ufanyia kazi ushauri huu basi shauri yake...wanawake hujisahau Sana baadae wanaanza kulialia
 

Natamani utufafanulie neno EGO, Wanaume tuna EGO, hapa unamaanisha nini hasa kwa lugha nyepesi tuweze kukuelewa.

Asante.
 
Kwa umri nilionao.... Nimekuja kugundua.... Ukijaribu kummiliki Mwamamume.... Utaumia sana kihisia, kimwili, kisaikolojia, kimatendo, kifikra.... Utaumia Kila Kona. Utakuwa mtu wa mawazo na kununa muda wote. Nimeacha kabisa hii TABIA.
Hahahahah you must be a so controlling patner 😂!

Mwanaume hachungwi enjoy ukiwa nae ila don't ever track his steps or tailing back. Utaishi kwa raha mustarehe esp. kama anakupenda. Binafsi mi nakuacha ukiwa mtu wa kulalamika hovyo unataka kila dakika niwe available.

Be very proud kama mwanaume ndiye anayafanya hayo kwako. He must love you so bad maana huwa hatunaga time na madem tunaopoteza nao muda
 
Naishi kwa amani kabisa, raha mustarehe baada ya kuacha haka ka tabia kabaya😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…