Mpe mwongozo banaa usiniangushe ujuee β₯οΈππ
π€£π€£π€£Chezea mama ochu wewπ€£π€£Yes, tulimpatia humu humu, na mwaka huu unakuwa wa 3 kwenye ndoa.
Utakuja kula pilau la anniversary ya 3, kaninogea nina mpango wa kumuoa upya ππ€£π€£
Usikose kwenye ubweche.. Sahani yako tutaweka na zabibu. π€£π€£π€£π€£Chezea mama ochu wewπ€£π€£
Bila kusahau kipapatio Cha kuku kikubwa πUsikose kwenye ubweche.. Sahani yako tutaweka na zabibu. π€£
Katika watu wachache watakaoruhusiwa kuingia jikoni kujipakulia nyama na wewe umo.Bila kusahau kipapatio Cha kuku kikubwa π
πHayo ndo mambo napenda sana nyama Hadi bosswang juz kanambia naweza kuolewa mahari ikawa nyama π€£π€£π€£Katika watu wachache watakaoruhusiwa kuingia jikoni kujipakulia nyama na wewe umo.
Kabisa yani mahusiano mengi yanaishia hewani kudhalilishana na utapeli. YAMENIKUTAYou are anonymous and you fall in love with your fellow anonymous member? That's kinda weird.
Mnatongozana, wote mnatumia majina "fake" na "avatar" fake. Mkikutana live hata hayo mapenzi yatakuwa fake.
Pole, ilikuwaje?Kabisa yani mahusiano mengi yanaishia hewani kudhalilishana na utapeli. YAMENIKUTA
Kama una begi la pesa tufanyajeHumu Kuna waomba vochA na vizinga tu
Tafutenu za kwenu kwanini muwe omba omba !? Sii mnasemagaa wanawake mnaweza au mnaweza kukata mauno tu.Kama una begi la pesa tufanyaje
π€£π€£π€£slowly basi nitoe ten basiTafutenu za kwenu kwanini muwe omba omba !? Sii mnasemagaa wanawake mnaweza au mnaweza kukata mauno tu.
Ipo siku nitaleta hiki kisa hapa jukwaaniPole, ilikuwaje?
πππ Utamu kunogaπ€£π€£π€£slowly basi nitoe ten basi
ππfanya kweli hutaki na mm niwe na pochi la pesaπππ Utamu kunoga
Sio kweli.
Hata muandiko una upekee wake, unaweza vutiwa na muandiko wa mtu kwa kujenga taswira kwamba huyo flani atakuwaje kiuhalisia
Kuna PM watu wanatumiana picha...
Mimi nahisi wapo ila wanakausha hawataki kusemwa semwa
π π π π π π πWewe ndo kizibo wa JF, afu kwanza unaigiza tu umeshashtukiwa kitambo.