Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

KAJOBO

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
407
Reaction score
348
Habari Wana Jf
Natumai mko salama
Nimekaa nikawaza mengi, kwenye jukwaa hili ni wengi waliotoa post za kutafuta mke au mme nikiwemo na mie😊
Lakini Cha kushangaza sijawahi Kuona mirejesho ya members wakifunga ndoa au hata kuja kutoa taarifa za kupata

Sasa swali ni je hili jukwaa halisaidii ama ni nini tatizo?
Au utaratibu Gani utumike kusikia lengo?
 
Screenshot 2024-07-22 212703.png
 
You are anonymous and you fall in love with your fellow anonymous member? That's kinda weird.

Mnatongozana, wote mnatumia majina "fake" na "avatar" fake. Mkikutana live hata hayo mapenzi yatakuwa fake.
Sio kweli.

Hata muandiko una upekee wake, unaweza vutiwa na muandiko wa mtu kwa kujenga taswira kwamba huyo flani atakuwaje kiuhalisia

Kuna PM watu wanatumiana picha...

Mimi nahisi wapo ila wanakausha hawataki kusemwa semwa
 
Back
Top Bottom