Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Shirika la Fedha la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (DFC) wiki hii lipo nchini Tanzania kujadili mikakati ya jinsi ya kuwavutia wawekezaji wa Kimarekani kuja Tanzania ili kushirikiana na makampuni ya Kitanzania, hasa katika sekta za miundombinu na madini muhimu. Kaimu Balozi Andrew Lentz alikutana na timu hiyo katika kazi yao ya kuwezesha kufikiwa mikataba zaidi kati ya Marekani na Tanzania.
Wahafidhina:
Wakiongozwa na Wakili wa Lissu Robert Amsterdam wameandika vijarida vingi kwenda Bunge la Ulaya na Congress ya Marekani kuichafua Tanzania. Lakini wameshindwa kuichafua