Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

Haifanyiki sehemu yoyote yenye choo ,labda siku nyingine tutakuja kuelezea negative energy zinazopatikana kwenye chooni ,hujawahi sikia story za vyoo hasa vya shule kuwa na maajabu ? Watu kufia chooni na Mambo mengine Kama hayo ,au kwa wafanyabiashara wengine ,hujawah sikia mtu kakuta kinyesi ofisin kwake au eneo lake la kazi? au vinyesi mahala pako pa kuishi kwanini iwe hvo ?
 
Nimesoma comments zote hadi mwisho, Nimegundua wabongo wengi humu ndani ni wajuaji sana, halafu wanajiona ni miamba ( wanajua kila kitu ).

Yaani kuana aina nne za ujuaji :-

  • Anajua kama anajua
  • Anajua kama hajui
  • Hajui kama anajua
  • Hajui kama hajui

Sasa wajuaji wa humu wapi hapo kwenye no.4, Yaaai hayajui kama hayajui alafu kutwa kushupaza shingo kama manyumbu. Ndio maana wengine huwa hawatoagi siri kama hizi, kwasababu ya hizi tabia za kinoko.

Imagine, jamaa hajaomba hela, hajahitaji msaada kwa mtu, ame weka tu mbinu yale aliyoitumia ikamlete mafanikio fulani, uziri maelezo yake yameshiba na yamejitosheleza.

Sasa hizi habari sijui za kimba, sijui upumbavu gani zinatoka wapi? Punguzeni utoto basi nyie watu, sio kila jambo ni lakudharau na kulifanyia mzaha... Unaweza kukuta huyu mleta mada age ipo 60+ huko, yaani ni mtu mzima wakuitwa Baba / Babu, sasa mtu kama huyo anapoamua kutupatia mbinu zake zilizomletea mafanikio fulani halafu wewe unaweka maneno ya kejeli na dhihaka, hizi unajisikiaje ndani ya nafsi yako?

Jamani hebu tubadilikeni, tuweni hata na adamu na staha kwenye kujibu nyuzi kama hizi hapa sio chit chat mazee.

Kupitia kisa hiki, unaweza kuta kuna member mwengine nae alikua anajiandaa kuleta ushuhuda wake namna alivyofanikiwa kwenye jamba filani, halafu anakutana na negativity kama hizi, unadhani atamwaga mchele kwenye kuku wengi?

Mleta mada nakupongeza kwa ujasiri, halafu nimegundua una emotional stability kubwa sana, licha ya dhihaka nyingi ulizoshambuliwa nazo lakini umebaki calm na unajibu comments in positive way, nadhani meditaton imekusaidia, hapa sina hakika zaidi kama ni hiyo meditation au ni hulka yako tu yakuwa humble.

Nakupa tano mkuu kwenye hilo na nikutakie kheri zaidi. Nami ninapitia hizi changamoto maishani ambazo sinabudi kuamini zina uhusiano na imani ya upande wa pili.

Yaani masikio yangu yana uzito wa usikivu, tatizo hili limenipata ukubwani tu, nimeenda hospitali zote kubwa hadi agakhan hapo na hivi vi polyclinic vyote vya wahindi vilivyopo hapo upanga na kisutu lakini masikio yako sawa, hawaoni tatizo lolote. sijapata ufumbuzi wa tatizo langu.

Kupitia uzi wako nitaanza tiba hii ya mkojo halafu nitaangalia matokeo juu ya tatizo langu sugu lisiloonekana hospitali zote kubwa.
 
Shukrani mkuu
 
hiyo nikweli kabisa,muone maalim hamadi facebook kwa mafunzo zaidi,maana anakikundi chake nami nilipata madini huko
Yes kuna kipindi natumia mtandao wa fb kwa sana nilikuwa nafatilia tabiri zake kabla sijaenda kufatilia masomo hayo in deep.
 
Mtoa mada havuti bhangi.hata Mimi niliwahi kusikia sehemu zaidi ya tatu
Huyu aliesema bangi ,anaichukulia bangi katika njia hasi ,Ila bangi ni dawa ukiitumia in a positive way ,ni mmea wa Kimungu ,ndo maana Rastafarian huwaambii kitu kuhusu bangi ,
Bangi inafukuza wachawi ,bangi unaweza kufanyia meditation pia ,bangi inafukuza chuma ulete kwenye biashara ,acha kuisema bangi vibaya wewe ,inategemea unaitumia kwa matumizi yapi ,ipo siku itakusaidia katika tiba.
 
Hata YESU alitemea mate udongo,AKATENGENEZA TOPE akamponya KIPOFU.
Matumizi ya mkojo yaendeleee.
Mtoa madam hajasema Mungu ndo alimpa hayo matumizi.
Btw,ye anategenea mkojo ndo maana nimemwambia atoke kwenye kutegemeana Hilo
 
Umeongea bila ushahidi utadhani hizo milioni 100 za kubeti ni kama kuokota mia mbili
Tatizo mnaelekeza kwenye betting ,mkojo haukupi uwezo wa kubeti hyo maybe ilikuwa bahati yangu nimepangiwa ilipitia njia hyo ,ukitaka ushahid nitakupa picha zangu zote live na ticket ya mkeka ,hadi siku nakabidhiwa mfano wa hundi na watu wa mbet picha zake zipo ...... betting hadi saiv huwa nafanya Ila sio kila siku nawin ,na betting ili uwin inahitaji mtaji ,odd 2 ukizifata kila siku kwa laki mbili ndani ya siku tatu lazima utawin hvo tu.......sasa odd 500 kwa jero unafikir utawin lini wewe , probability ya kupoteza ni kubwa.
 
betting hadi saiv huwa nafanya Ila sio kila siku nawin ,na betting ili uwin inahitaji mtaji ,odd 2 ukizifata kila siku kwa laki mbili ndani ya siku tatu lazima utawin hvo tu
Acha mbambamba na porojo, hii ni Jamiiforums sio Facebook huku,

Ok odds 2 kwa siku 3 ni odds 6.

6 mara laki 2 ikitokea umeshinda zote ni milioni 1 na laki 2

Ndio namna ya kushinda milioni 100 au hesabu zinanipiga chenga ?
 
Acha mbambamba

Mada kuu ni nguvu ya Mkojo ,jamaa yangu ,hyo betting ni mafanikio kupitia perfect 12 unabet mechi 12 kwa usahihi unazokuwa umepewa na kiasi Cha kuwin Kuna muda kinafika hadi 200M ,halafu zinakuwepo reserved match ikitokea mechi imeahairishwa niliwin mwaka 2016 iyo perfect Ila naichezaga ,sijawah kuwin tena,jikite katika nguvu ya Mkojo achana na betting ,maana betting inasimama na kwenye bahati.
 
Acha mbambamba na porojo, hii ni Jamiiforums sio Facebook huku,

Ok odds 2 kwa siku 3 ni odds 6.

6 mara laki 2 ikitokea umeshinda zote ni milioni 1 na laki 2

Ndio namna ya kushinda milioni 100 au hesabu zinanipiga chenga ?
Ebu fatilia perfect 12 ya Mbet ikoje ndo utaelewa ,unapewa mechi 12 uzipatie zote na unachaguliwa na kampuni hzo mechi nq zinakuwa ngumu sana
 
Sio mbet tu kampuni nyingi huwa zina Jackpot zake mfano Sportpesa ,jakpot ipo ,PM bet ipo ,Ila mm nilishinda perfect 12 ambayo ni Jackpot ya Mbet ,sio kwamba nilitengeneza odd zikanipa 125M ,ilikuwa ni Jackpot ya mechi 12 ,wakamaria wanajua hz mambo
 
Na siwez kukushaur uwe addicted na betting ,ni mbaya , betting nzuri ni pale unapoamua uifanye kama starehe ,lakin sio kama ajira ,itakutesa sana
 
Sio mbet tu kampuni nyingi huwa zina Jackpot zake mfano Sportpesa ,jakpot ipo ,PM bet ipo ,Ila mm nilishinda perfect 12 ambayo ni Jackpot ya Mbet ,sio kwamba nilitengeneza odd zikanipa 125M ,ilikuwa ni Jackpot ya mechi 12 ,wakamaria wanajua hz mambo
Ukiweza kunionesha hizo 125 M ulizokula kwenye betting nitaamin Kila kitu ulichoandika ...

Usioneshe pesa ,nioneshe ticket tu ...
 
Oohps vijana wengi point waliyoiona kubwa ni pesa tu hzo ,ujue nini mwili wako ukiwa uko sawa ,na pesa ina formula yake ,unajua pesa huwa ni kama sumaku ,huwa ina attract ,ikiamua kukufata ,inakufata tu ,ndo maana kuna watu wanafanya kazi kwa kurelax sana Ila gap za pesa zinafunguka ,na Kuna wengine wanateseka ,Kuna watu wanashinda baani kila siku wanalewa na kwakuwa wana attract pesa zinawafuata ,law of universe ...... Ok kwakuwa unataka jinsi nilivyoshinda 125M na hyo sio mada kuu sana ,mada yangu ni mkojo ,nifate pm ,nitakupa namba zangu za simu ,na namba za Nida ,au kitambulisho changu ,halafu uingie Google usearch hilo jina lililopo kwenye kitambulisho Cha Nida ,litaleta habari zangu nikikabidhiwa hicho kiasi ilikuwa mwaka 2016 ,ila ukiingia Google utakuta .
 
Back
Top Bottom