sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo nenoMmekutana wote hamna pesa. Mngekuwa na senti getini kungekuwa na mlinzi msingeweka ndugu yenu. Na hizo kuni mngeita watu walete tu.
[emoji23][emoji23] Poleni sana. Kwa kweli pesa ni muhimu hata kanisaniKwanza kabisa watu wanaweza kudhan hii ni comedy ila ni ukweli mtupu.
Wiki kadhaa zilizopita kulikuwa na kikao cha ukoo kuusu jambo flani hivi nyeti, uzuri wa ukoo wetu wengi tuupo mkoa huu nilipo kwahio tunakutanaga sana.
Tulifika vizuri tu na kusalimiana ila sasa kikao kilipotaka kuanza, kuna ndugu yetu flani uchumihaujamkaa sawa aliambiwa aende getini awe anaangalia usalama ama kupokea wageni.
Mwengine naye kikao kilipoanza baada ya kama dakika 20 aliitwa aende kupasua kuni kwa ajili ya kuota moto tukimaliza kikao
Mwengine aliruhusiwa kubaki ila aliishia kukaa kimya maana kila akijaribu kuongea anakatwa jicho fulani ivi mpaka anakosa raha.
Kiukweli niliumia sana
Hii sio spana bali ni nyundo kabisa 😀Mmekutana wote hamna pesa. Mngekuwa na senti getini kungekuwa na mlinzi msingeweka ndugu yenu. Na hizo kuni mngeita watu walete tu.
Ni kweli, maana uchumi wenyewe hata sio wa kutishaMmekutana wote hamna pesa. Mngekuwa na senti getini kungekuwa na mlinzi msingeweka ndugu yenu. Na hizo kuni mngeita watu walete tu.
UMEMWLIZA mkuu. Mods fungeni uzi huuMmekutana wote hamna pesa. Mngekuwa na senti getini kungekuwa na mlinzi msingeweka ndugu yenu. Na hizo kuni mngeita watu walete tu.
Hahahahhahahahaha....dahMmekutana wote hamna pesa. Mngekuwa na senti getini kungekuwa na mlinzi msingeweka ndugu yenu. Na hizo kuni mngeita watu walete tu.
🤣🤣🤣Ikipita harufu yoyote wanakukata jicho kali