Ushuhuda: Nilichokiona kwenye kikao cha ukoo/familia, bila pesa huthaminiwi

Funny [emoji38] but not funny...naomba kukubaliana na wewe iliwahi kunitokea mie iliwahi kunitokea siku ya msiba wa bibi yangu nasikitika sikupewa taarifa na ndugu wa karibu zaidi alinitumia meseji binamu yangu na fasta msibani nilienda tena kwa kutembea kwa mguu maana nauli nilikuwa sina (ndugu hawakujali walanini)sasa cha ajabu ilifika siku ya arobaini nilikuwa mtamu balaa coz baada ya ule msiba kuisha basi siku chache baadae mipango yako ya kifedha ikafunguka[emoji12]unaambiwa shobo zilikuwa nyingi mpk taarifa za birthday napewa achilia mbali vikao vya harusi ninachaguliwa kuwa kiongozi wa kamati[emoji1787] maisha haya[emoji3] wacha leo tucheke tu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kumbe wewe ndio ulimtoa kafara bibi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumegunduaaa.
 
Kama hujafikia uchumi wa Kati epuka vikao vya ukoo.

Hata mmoja akiharibu hewa wewe ndio unatupiwa jicho.

Wakati wa kula kila mtu anaangalia unavyojichotea minyama na uchaguzi wako wa kinywaji.

Siku ya kurudi town kila unaemuomba lift anakuambia bado yupo Ila hakuambii lini ataondoka
 
Hahahahahahahaa....nimecheka sana hyo line ya mwisho dah🤣
 
Kama hujafikia uchumi wa Kati epuka vikao vya ukoo.
Hata mmoja akiharibu hewa wewe ndio unatupiwa jicho.
Wakati wa kula kila mtu anaangalia unavyojichotea minyama na uchaguzi wako wa kinywaji.
Siku ya kurudi town kila unaemuomba lift anakuambia bado yupo Ila hakuambii lini ataondoka
Eeh sasa unataka lift had town mzee na ukifika town huna mishe unaishia kufikia kwa mtu na kushindia seblen...hahaa unamgeuzia lawama kwamba ndo ulikuja nae hivyo anapaswa kukusaidia kazi na fedha. .kumbe uliomba lift mtu akakupa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa watu wanaweza kudhan hii ni comedy ila ni ukweli mtupu.

Wiki kadhaa zilizopita kulikuwa na kikao cha ukoo kuhusu jambo flani hivi nyeti, kikao kilitubidi twende kijijini kwetu.

Tulifika vizuri tu na kusalimiana ila sasa kikao kilipotaka kuanza, kuna ndugu yetu flani uchumihaujamkaa sawa aliambiwa aende getini awe anaangalia usalama ama kupokea wageni.

Mwengine naye kikao kilipoanza baada ya kama dakika 20 aliitwa aende kupasua kuni kwa ajili ya kuota moto tukimaliza kikao

Mwengine aliruhusiwa kubaki ila aliishia kukaa kimya maana kila akijaribu kuongea anakatwa jicho fulani ivi mpaka anakosa raha.

Kiukweli niliumia sana
Ita kuwa wewe ndio ULIKATWA JICHO, maana inaonekana hata wewe haukuongea,
TAFUTA HELA MKUU, ila usiue au kutoa ndagu,
TOA SADAKA TU KANISANI NA FUNGU LA KUMI
 
Kwanza kabisa watu wanaweza kudhan hii ni comedy ila ni ukweli mtupu.

Wiki kadhaa zilizopita kulikuwa na kikao cha ukoo kuhusu jambo flani hivi nyeti, kikao kilitubidi twende kijijini kwetu.

Tulifika vizuri tu na kusalimiana ila sasa kikao kilipotaka kuanza, kuna ndugu yetu flani uchumihaujamkaa sawa aliambiwa aende getini awe anaangalia usalama ama kupokea wageni.

Mwengine naye kikao kilipoanza baada ya kama dakika 20 aliitwa aende kupasua kuni kwa ajili ya kuota moto tukimaliza kikao

Mwengine aliruhusiwa kubaki ila aliishia kukaa kimya maana kila akijaribu kuongea anakatwa jicho fulani ivi mpaka anakosa raha.

Kiukweli niliumia sana
Unanikumbusha kaka yangu mkubwa aliambiwa apange viti afu mdgo wake akatolewa kiti akae kisa anapesa
 
Back
Top Bottom