Funny 😆 but not funny...naomba kukubaliana na wewe iliwahi kunitokea mie iliwahi kunitokea siku ya msiba wa bibi yangu nasikitika sikupewa taarifa na ndugu wa karibu zaidi alinitumia meseji binamu yangu na fasta msibani nilienda tena kwa kutembea kwa mguu maana nauli nilikuwa sina (ndugu hawakujali walanini)sasa cha ajabu ilifika siku ya arobaini nilikuwa mtamu balaa coz baada ya ule msiba kuisha basi siku chache baadae mipango yako ya kifedha ikafunguka😜unaambiwa shobo zilikuwa nyingi mpk taarifa za birthday napewa achilia mbali vikao vya harusi ninachaguliwa kuwa kiongozi wa kamati🤣 maisha haya😀 wacha leo tucheke tu😆😆😆😆😆