Ushuhuda: Nilichokiona kwenye kikao cha ukoo/familia, bila pesa huthaminiwi

Wewe ni mnafki kwasababu kama kweli uliumizwa na yaliyofanyika kwa ndugu zako kwanini usiongee waziwazi kwenye hicho kikao kwamba hufurahishwi na wanachofanyiwa ndugu zako... unakuja huku kuhadithia
 
Wewe ni mnafki kwasababu kama kweli uliumizwa na yaliyofanyika kwa ndugu zako kwanini usiongee waziwazi kwenye hicho kikao kwamba hufurahishwi na wanachofanyiwa andugu zako... unakuja huku kuhadithia
Kimodo. Elewa kwamba huyu hakua na uchumi wa Kati hivyo hata angesema asingesikilizwa.
Kimodo. Umesha wahi ku attend kikao Cha wachaga wenye hela? Kama gari yako Ni pick up au vitz usitegemee kusikilizwa. Sasa itakua huyu hata bodaboda Hana.
 
Pole sana ndugu

Ahsante mkuu ukisikia maisha ni vita na vita yenyewe ndio hii...leo ninamaisha yangu nimebahatika kuwa na mji wangu hapa hapa dar es salaam na ninausafiri wangu si haba mapambano yanaendelea ingawa vita bado ipo wanataka nishuke chini
 
Huo ukooo umekufa, kwetu kikao kinaongozwa na watu wanaotuzidi umri na siyo wanaotuzidi pesa,tajir akizingua achague moja kula fimbo au atoe faini ya dume la moooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…