babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Kuna heka 5 hapo Chanika Masaki ila bora zikae tu kulima noMkuu umerahisisha sana yaani baada kukodi shamba laki tatu halafu ikawaje sasa??
Dawa, mbegu,maji,vibarua, wezi, muda,nk vyote hujataja vilikugharimu kiasi gani ila nimeona tu umewekeza laki tatu na kupata faida ya milioni mbili. Hongera sana mkuu.
duuu sio pouwa;
Hahaha ila madalali wana kula kiulaini
duuu sio pouwa;
Hahaha ila madalali wana kula kiulaini
Mkuu kama hujui kilimo asikudanganye mtu eti kilimo ni dili. Ni bora hiyo pesa ya kulimishia nunua mazao kutoka wakulima weka stoko.Kuna heka 5 hapo Chanika Masaki ila bora zikae tu kulima no
Huwezi kufanya biashara ukimkwepa dalari na ukitafuta soko mwenyewe kwanza haulipati maana mwenye access na matajiri ni huyo huyo dalari wewe mwenye bidhaa hadi umfikie mnunuzi umefanya kazi ya ziada na unaweza kuzulumiwa, lakini sio uamini kila dalari wengine ni vichomi wanakupoteza hapo napo unatakiwa umakini
Vipi na wewe mkuu kuhusu ufugaji, unakupa faida vzr?Natamani siku moja nifanye hiyo shughuli ya kilimo.... Ngoja kwanza niendelee kukomaa na ufugaji wangu
Mkuu, sh. 2M kuzisubiri kwa siku 100 (miezi mitatu na nusu) unaita ni hela ndefu?Zao hili huhitaji roughly siku 100 na huendelea kuzaa na ukachuma hata michumo 10 endapo unaendelea kutoa huduma nzuri. Roba 1 la hoho ni kati ya 80 mpaka 100k. Hapa nilipiga hela nzuri sana, zaidi ya 2 mil.
nasema hivi bila dalali utadoda
Ndio hiyo nafkiria kupanda miti ya mbao tu,najua ukulima kazi zake ,asili yangu huko.Mkuu kama hujui kilimo asikudanganye mtu eti kilimo ni dili. Ni bora hiyo pesa ya kulimishia nunua mazao kutoka wakulima weka stoko.
Mkuu kama hujui kilimo asikudanganye mtu eti kilimo ni dili. Ni bora hiyo pesa ya kulimishia nunua mazao kutoka wakulima weka stoko.
Hahaha Dada sio kwa kutishana ukuKuna uzi asbh nimeona wageni wa kilimo wanavyopeana hopes humu..nikabaki nawaonea hruma tu..kilichobak ni kununua mazao basi
jf bana,mtu kaleta wazo juzi ,anajibiwa ujinga
Sua kilimo wanachofanya hawa base kwa biashara bali kufundishaSua mipapai inadoda haina ht wateja..inaweka vidonda balaa bora maembe wanauza..ila papai wamefeli..yaan mm samak na kilmo nakudadavulia km nameza maji...uzuri wataalam ukikaa nao fresh anakuambia bora ulime 15 acres..n uwe kbs na soko.zuri mapema kbs..hizi eka 1 au 2 bora umzalie mumeo tu mtoto..
wabongo hatupigii hesabu vitu lukuki hata ule muda wakukaa shamban nao ni hela..unajikuta una xtra ya 400k..manina
Hahaha hakuna ujanja ukilima, ukileta mifugo huna ujanja nikuisalimisha kwaoMabaharia lazima ujue nguvu ya dalali sokoni ni kubwa tena usidharau,