USHUHUDA: Ninavyoyamudu maisha kupitia kilimo cha mbogamboga ndani ya ekari moja tu

Mkuu, mbona huu uzi wa leo June 2, unatofautiana na Uzi ulio uweka May 25...!!??
Anyway, nimepitia threads zako nyingi na nimegundua kwamba huu uzi wa leo haujakua mkweli.
 


Wewe upo kama dingi angu anahangaika na mipunga huyo.haha yaana anafanya coz anapenda mara mbolea uwii mwishowe alichopata hakifananii..pyee
 
Hahaha Dada sio kwa kutishana uku


Mwaka 2017 hubby alikua ana kitete kweli cha kufuga samak..kila navyoona pale sua vusamak vinavyotoka km kiganja nasema hapNa..nikaja mtafta mtaalam hahaa aliniambia hvi..shem km unataka kufanya biashara ya ufugaji samaki anza na 40 au 50m..chin ya hapo naogipa kula hela yako...yaa hata hawa wataalam wanajua kbs..ila ss wanakujia na idea za ufugaji wa samak kwenye diaba...!Mungu awakemee!
 
una eskipirienz karibu na kila kitu mama [emoji5]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚eti kwenye diaba! Nmecheka kwa nguvu usiku huu lol...
 

πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†Wewe jamaa muongo sana
 
umewahi sikia huuufugaji au hujawah sikia mkuu?yes kwenye diaba walianzisha kufuga samak..madai yake km huna eneo
Nmeshawahi ona aisee mwaka jana sabasaba hata humu Kuna uzi wa huo ufugaji wa fish kwenye hayo madude
 
Wewe upo kama dingi angu anahangaika na mipunga huyo.haha yaana anafanya coz anapenda mara mbolea uwii mwishowe alichopata hakifananii..pyee
Ndiyo hivyo mkuu kilimo ni kigumu mno ila ukisoma maandiko mbalimbali yanaongelea faida tu tena kubwakubwa za kilimo unaweza kuchukia kazi uliyonayo ukakimbilia kulima. Ila utakachokutana nacho field kama wewe sio mpenzi wa kilimo hautarudia tena.

Cha msingi watu waseme ukweli kuhusu kilimo faida na hasara zake.
 


Madawa feki mbole bei juu..vibarua nao wanakuona una pesa bas wanakuambia kupiga box tuta eka 1 60000/=...bado mafuta..na kuwalisha!hapana..endeleen
 
nashukuru umeniokoa..ningeonekana mwongo
Ni sawa na kipindi flani nmerudi nyumbani nikakuta watu wanawafundisha kina mama huko kijijini eti walime mboga ya kuuza kwenye mifuko ya salfetπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani wazoe udongo waweke kwenye viroba......
Mwisho hata mboga ya kula haikupatikana
 

Natamani kupata experience zaidi toka kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…