NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,301
- 2,977
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuh hichi chama cha jf kitatuchomoa mbavuSua mipapai inadoda haina ht wateja..inaweka vidonda balaa bora maembe wanauza..ila papai wamefeli..yaan mm samak na kilmo nakudadavulia km nameza maji...uzuri wataalam ukikaa nao fresh anakuambia bora ulime 15 acres..n uwe kbs na soko.zuri mapema kbs..hizi eka 1 au 2 bora umzalie mumeo tu mtoto..
wabongo hatupigii hesabu vitu lukuki hata ule muda wakukaa shamban nao ni hela..unajikuta una xtra ya 400k..manina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi bahat nzuri mazao yangu yalikuwa mazuri..jaman sokoni.mm nilikua nachoka..
![emoji3][emoji3][emoji3]hao Kuku wa wiki nne wakoje mkuu
Hongera Sana Sana Kamanda! Naijua vyema hio kitu basi tu Nimekua na changamoto binafsi
Wakienyeji kibiashara wanalipa kweli?Pole me ninao wa kienyeji
Ni kweli kabisa kabisa, unaweza kuzimiahapana Eli...kilimo kwa sasa kinatesa😑
Wakienyeji kibiashara wanalipa kweli?
Tena cha kutegemea mvua za mungu;hapana Eli...kilimo kwa sasa kinatesa😑
Kuku wa kienyeji ukuaji wao ni mdogo, ukizingatis swala la muda na ulishaji kama inakataYes kwa nini umeuliza hivyo?
Karibu ; siku yeyote ukitaka anza ama kuja angalia feel freeOooh tena wewe itabidi nikupm
Kwenye mazao kinacholipa ni kuweka stock ya mazao nayo pia kwa target kwa mfano mpunga au mahindi nayo unaweka stock mwaka ambao hakuna mavuno makubwa kwa nchi nzima ambapo unajua kabisa hili zao mwaka huu ni kidogo hivo uhitaji utakua mkubwa, lakini ukijichanganya kuweka stock mwaka ambao mavuno yamekubali na automatically demand itakua chini utazidi kulia miaka yote
Karibu ; siku yeyote ukitaka anza ama kuja angalia feel free
Kuku wa kienyeji ukuaji wao ni mdogo, ukizingatis swala la muda na ulishaji kama inakata
Term nyingine nikajitoa ufahamu ..nikawa namwaga area yenye mzunguko wa watu .lakinj nao wana kanuni zao..tunda 1 ukiuza ni 200..bado hela ya ulinzi .bado hela ya kumpa mwenye eneo ..bas matikiti yakae siku 3...hakuna..unakaa 27dys unauza tu eka 3. pyee..unajikuta ile hela ulomkwepa dalali bora ùngempa yy....mie kilimo nachokiamini kwa sasa ni kilimo cha MITI Tu
Unaweza kutuwekea mchanganuo kidogo wa kilimo cha MITI mkuu
Kweli na tatizo nyama ya kuku ni anasa kwa watanzania,ukiwafuga kibiashara ukifika sokoni lazima ulieOoh OK ni kweli hao huwa nawavumilia Muda mrefu mpaka kuwauza lakini Wana bei nzuri
Nadhan miti na kupanda tu ndo cost kubwa(vibarua)..labda na kuprun matawi..na ulinz mkubwa..wakichoma umekwisha...!
Muda
Kabisa mkuu muda na wenyew ni pesa maninaSua mipapai inadoda haina ht wateja..inaweka vidonda balaa bora maembe wanauza..ila papai wamefeli..yaan mm samak na kilmo nakudadavulia km nameza maji...uzuri wataalam ukikaa nao fresh anakuambia bora ulime 15 acres..n uwe kbs na soko.zuri mapema kbs..hizi eka 1 au 2 bora umzalie mumeo tu mtoto..
wabongo hatupigii hesabu vitu lukuki hata ule muda wakukaa shamban nao ni hela..unajikuta una xtra ya 400k..manina
Tatizo ushuhuda mnaletaga mkipata faida tu hasala mnapiga kimyaWakuu , pole na hongereni na weekend !
Mimi nimeamua kudeal na kilimo cha mazao ya mbogamboga kwenye eneo langu lenye ukubwa wa ekari moja ninalolimiliki mwenyewe baada ya kulima kwa kukodi mashamba ya watu.
Nalimia Chekereni - Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro.Kandolando ya barabara kuu ya Moshi - Dsm. Ni mbele kidogo ya Njia Panda ya Himo (Kwa wale wenyeji).
Niliacha kazi niliyokuwa nimeajiliwa baada ya kutofautiana na mwajiri wangu (TPC - Moshi) na kuamua nilime tu.
Nilianza Kwa kukodi shamba la ekari 1 kwa TZS 300,000 kwa msimu nikapanda pilipili Hoho aina ya F1.Zao hili huhitaji roughly siku 100 na huendelea kuzaa na ukachuma hata michumo 10 endapo unaendelea kutoa huduma nzuri. Roba 1 la hoho ni kati ya 80 mpaka 100k. Hapa nilipiga hela nzuri sana, zaidi ya 2 mil.
Msimu uliofuata nikaweka cabbage na kuipa matunzo vizuri.Mungu si athumani nikapatamo hela nzuri tu.
Misimu miwili iliyofuata nikalima kitunguu maji aina ya Neptune. Hii mbegu inatoa vitinguu vikubwa na vizuri sana , hupendwa sana na wafanyabishara wa Kenya.
Kifupi ndo hivyo , mambo yanaenda.
Tujikite na kilimo.
Start with small but very smart !