Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
- Thread starter
-
- #21
Nipe muda kidogo majibu tutaona sio vitisho au vyovyote vile lakini kuna kitu kipo njiani(Ujumbe umfikie kiongozi wetu na ambaye alikuwa hajui sasa ajue kwamba Mungu yupo na yupo karibu kukupa jawabu la kila kitu)Hilo lipo wazi mazingira ya utendaji wa haki kwa mifumo ya kiserikali nchini mwetu imekua kitendawili kisichoteguka kutoka kipindi cha Governor Richard Turnbull hadi Samia, hapa katikati wote hawakutenda haki na ww unajua vizuri hawakutenda haki Mungu aliwafanya nini hawa walionyima wengi haki zao? Kwanini Mungu akupe Alert leo?
Tawire tawire tawire tawire tawire tawire tawireHabari ndugu na jamaa! Pole na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.
Sio mwandishi mzuri lakini leo nataka nikupe kisa cha kweli kuhusu taifa lako.
Mwaka 2016 nikiwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM(sitaeleza mengi kuokoa muda na usomaji pia).Nilipata habari ambayo binafsi mwanzo sikuelewa ilikuwa ina maana gani(maana ata ndugu zangu walidhani nimepata ugonjwa).Habari hii ilibeba ujumbe mkubwa kuhusu mimi na taifa lenu.Mwanzo ndugu yangu alinifata pale chuoni baada ya kutokea taharuki(maana nilikuwa nikimtizama mtu kama ana shida lazima aseme kila kitu).
Ilibidi ndugu yangu afike kunichukua maana habari zilizokuwa zinaenezwa ni kwamba nilikuwa naenda kurejesha mali zenu japo sikujua kitu na alikuwa akitajwa mjomba wangu ambaye kipindi kile alikuwa akihudumu Vatican kama padre.
Niliaga nikiwa kwamba naenda nyumbani na safari ya kuelekea Dar-es-salaam ilianza.Tulipanda bus la Shabiby(waliokuwemo siku hiyo waliona kila kitu)
Baada ya kufika Dar,ndugu hawakuamini walinipeleka Mikocheni(kama sijasahau kuombewa).Lile kanisa lilikuwa na mauza uza mengi lakini ndugu hawakuona ni wachungaji tu ndio walijua nguvu yangu.
Kufupisha habari,nilienda Tanga kuna kanisa la prophet anajiita Julius K(sio nabii ni tapeli wenyeji wa Tanga mnajua hilo kanisa linaitwa Shiloh kitu kama hicho).Niseme tu taifa lenu limeandamwa na roho wengi wachafu,niliona mengi yasiyoelezeka hapa(majini,misukule,mazombie na mijitu isiyoeleweka).Ningekuwa kuwa mtu wa tamaa yule kiongozi mtangulizi wenu ningemuangusha(lakini baada ya kuulizwa nilisema napenda amani tu)
Nimeandika huu ujumbe kwenye jukwaa la siasa nikiwa na lengo kwamba kama kuna watu wako karibu na kiongozi wetu(Mh.Samia) basi wamwambie haki ndio njia pekee itaweza kurejesha mambo kwenye usawa.Akifanya tofauti ajiandae kupitia magumu(binafsi kuna muda niliwaza nikae kimya lakini kuna muda namuona huyu ni mama pia.Binafsi nampenda mama yangu hivyo hata huyu najua ana watoto ambao wangependa kuona akifanikiwa.Hivyo mwambie atende haki)
Amani na upendo viwe kwenu samahani kwa usumbufu wowote (Taifa litakombolewa hili)
Acha porojo weka huo ushahidi. Kuandika hivyo hata mm naweza kusema kaulize kilichotokea UDSM 2007Kama ulisoma UDOM au una ndugu alisoma pale kamuulize mwezi wa sita Hummanities kulitokea nini?(Jibu atakupa) kama unataka mengine zaidi niambie nikuambie nilipo ushahidi utapata wewe na utawaeleza wenzio(Ombea taifa lenu safari inaweza isiwe nyepesi hii)
Nitafute kwa muda wako nitakueleza ukweli kiongozi.Sina cha kuficha tena lakini wanaojua wanaelewa aliyeandika hapa ni nani.Hivi ni mimi peke yangu ndiye nisiyeelewa kilichoandikwa?
Ni kama ukiulizwa mahakamani uliona/ ama ulishuhudia 🤣🤣Weka kwanza huo ushahidi
Umesema ila huna jipya , ni mapepo tu yamekuzunguka, why leo ambapo wananchi wanasema wapo na jambo lao 29 Oct, ulikua wapi ,basi ukipata mda njoo niyakemee mapepo yako .Habari ndugu na jamaa! Pole na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.
Sio mwandishi mzuri lakini leo nataka nikupe kisa cha kweli kuhusu taifa lako.
Mwaka 2016 nikiwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM(sitaeleza mengi kuokoa muda na usomaji pia).Nilipata habari ambayo binafsi mwanzo sikuelewa ilikuwa ina maana gani(maana ata ndugu zangu walidhani nimepata ugonjwa).Habari hii ilibeba ujumbe mkubwa kuhusu mimi na taifa lenu.Mwanzo ndugu yangu alinifata pale chuoni baada ya kutokea taharuki(maana nilikuwa nikimtizama mtu kama ana shida lazima aseme kila kitu).
Ilibidi ndugu yangu afike kunichukua maana habari zilizokuwa zinaenezwa ni kwamba nilikuwa naenda kurejesha mali zenu japo sikujua kitu na alikuwa akitajwa mjomba wangu ambaye kipindi kile alikuwa akihudumu Vatican kama padre.
Niliaga nikiwa kwamba naenda nyumbani na safari ya kuelekea Dar-es-salaam ilianza.Tulipanda bus la Shabiby(waliokuwemo siku hiyo waliona kila kitu)
Baada ya kufika Dar,ndugu hawakuamini walinipeleka Mikocheni(kama sijasahau kuombewa).Lile kanisa lilikuwa na mauza uza mengi lakini ndugu hawakuona ni wachungaji tu ndio walijua nguvu yangu.
Kufupisha habari,nilienda Tanga kuna kanisa la prophet anajiita Julius K(sio nabii ni tapeli wenyeji wa Tanga mnajua hilo kanisa linaitwa Shiloh kitu kama hicho).Niseme tu taifa lenu limeandamwa na roho wengi wachafu,niliona mengi yasiyoelezeka hapa(majini,misukule,mazombie na mijitu isiyoeleweka).Ningekuwa kuwa mtu wa tamaa yule kiongozi mtangulizi wenu ningemuangusha(lakini baada ya kuulizwa nilisema napenda amani tu)
Nimeandika huu ujumbe kwenye jukwaa la siasa nikiwa na lengo kwamba kama kuna watu wako karibu na kiongozi wetu(Mh.Samia) basi wamwambie haki ndio njia pekee itaweza kurejesha mambo kwenye usawa.Akifanya tofauti ajiandae kupitia magumu(binafsi kuna muda niliwaza nikae kimya lakini kuna muda namuona huyu ni mama pia.Binafsi nampenda mama yangu hivyo hata huyu najua ana watoto ambao wangependa kuona akifanikiwa.Hivyo mwambie atende haki)
Amani na upendo viwe kwenu samahani kwa usumbufu wowote (Taifa litakombolewa hili)
Mkuu wewe eleza tu mimi na ndugu zangu wawili walienda(ga) UDOM miaka hiyo kukatokea vurugu/maandamano/migomo wakafukuzwa tokea kipindi hiko kila anayetaka kuomba chuo anapewa huo mkasa ndugu wakaacha kuapply hapo. Wengine watauliza ndugu zao ila we nielezeee mimi kilichotokeaKama ulisoma UDOM au una ndugu alisoma pale kamuulize mwezi wa sita Hummanities kulitokea nini?(Jibu atakupa) kama unataka mengine zaidi niambie nikuambie nilipo ushahidi utapata wewe na utawaeleza wenzio(Ombea taifa lenu safari inaweza isiwe nyepesi hii)
Hata mleta mada pia hajaelewa alichokiandika,Hivi ni mimi peke yangu ndiye nisiyeelewa kilichoandikwa?
Chukua Glass ya maji kunywa then soma pole pole..Hivi ni mimi peke yangu ndiye nisiyeelewa kilichoandikwa?
Upo wapi nikueleze ukweli(Kama kiongozi wetu hataweza kusikia ukweli huu.Niseme tu anaenda kupinduliwa.Situmii ID fake majina yangu ndio hayo nipo Kahama sahivi nitafute ntakueleza ukweli.Siogopi kufa maana ntakufa kama shahidi na nikitekwa nikarudi ntaeleza tena ukweli.Unabisha sema ulipo ntakupa ukweli wote)Acha porojo weka huo ushahidi. Kuandika hivyo hata mm naweza kusema kaulize kilichotokea UDSM 2007
Hapa umenyoosha maneno. Safi sana, kwa ulivooneshwa mapinduzi yatakua kabla au baada ya uchaguzi?Upo wapi nikueleze ukweli(Kama kiongozi wetu hataweza kusikia ukweli huu.Niseme tu anaenda kupinduliwa.Situmii ID fake majina yangu ndio hayo nipo Kahama sahivi nitafute ntakueleza ukweli.Siogopi kufa maana ntakufa kama shahidi na nikitekwa nikarudi ntaeleza tena ukweli.Unabisha sema ulipo ntakupa ukweli wote)
Sina mapepo na hiyo tarehe unayosema unaweza usione mtu(nimesema leo kwenu na nilisema kabla japo hukujua tafuta kuna mada nyingine nilianzisha japo ilikuwa na mafumbo utaona nini kinakuja.Kuwa na amani mkombozi yupo njiani)Umesema ila huna jipya , ni mapepo tu yamekuzunguka, why leo ambapo wananchi wanasema wapo na jambo lao 29 Oct, ulikua wapi ,basi ukipata mda njoo niyakemee mapepo yako .
Pumbavu
Bado unazunguka hujaweka ushahidi. Kwa nini mpaka tuonane ndio unieleze wakati unaweza kueleza hapa na unasema hakuna unachoogopaUpo wapi nikueleze ukweli(Kama kiongozi wetu hataweza kusikia ukweli huu.Niseme tu anaenda kupinduliwa.Situmii ID fake majina yangu ndio hayo nipo Kahama sahivi nitafute ntakueleza ukweli.Siogopi kufa maana ntakufa kama shahidi na nikitekwa nikarudi ntaeleza tena ukweli.Unabisha sema ulipo ntakupa ukweli wote)
Kama wanakumbuka kipindi Magufuri(R.I.P) anafukuza watoto wa diploma kule social sciences waulize kuna janja alikuwa hummanities kipindi kile watakupa ufupi wa hii habariMkuu wewe eleza tu mimi na ndugu zangu wawili walienda(ga) UDOM miaka hiyo kukatokea vurugu/maandamano/migomo wakafukuzwa tokea kipindi hiko kila anayetaka kuomba chuo anapewa huo mkasa ndugu wakaacha kuapply hapo. Wengine watauliza ndugu zao ila we nielezeee mimi kilichotokea
Kufupisha habari,nilienda Tanga kuna kanisa la prophet anajiita Julius K(sio nabii ni tapeli wenyeji wa Tanga mnajua hilo kanisa linaitwa Shiloh kitu kama hicho).Niseme tu taifa lenu limeandamwa na roho wengi wachafu,niliona mengi yasiyoelezeka hapa(majini,misukule,mazombie na mijitu isiyoeleweka).
Mkuu nasema ayo mapepo tu, iweje hupo na jambo la kulisaidia Taifa , familia ,ndugu na jamaa ,usabili mpaka leo?Sina mapepo na hiyo tarehe unayosema unaweza usione mtu(nimesema leo kwenu na nilisema kabla japo hukujua tafuta kuna mada nyingine nilianzisha japo ilikuwa na mafumbo utaona nini kinakuja.Kuwa na amani mkombozi yupo njiani)
Wenyeji wa Tanga waulize kuna mtu alikuwa anaitwa prophet Julius na kanisa lake linaitwa Shiloh(kama sijakosea).Lile sio kanisa na pale hakuna nabii anayebisha atakuja na masimulizi yake(sikupenda niweke yote haya hadharani lakini huyu kiongozi wetu anaenda ambako siko na mimi napenda nione akifanikiwa kwa maana nampenda mama angu na huyu ni mama pia ana watoto)Hayo mavitu uliyaona ndani kanisani? Ulifikiriaje? Na unaona watu unajua yupoje.
Basi ni Mungu alie hai na sio mapepo ,Muulize tena kwamba mbona Taifa linaelekea Angamia na unipi majibu mapema kuwatadhalisha wana wa Mungu wa Taifa hili ? Ukipata jibu njoo tena ,maana ni matumaini yangu atakwambia yote yajayo na kuwashirikisha wana wa Mungu .Kama wanakumbuka kipindi Magufuri(R.I.P) anafukuza watoto wa diploma kule social sciences waulize kuna janja alikuwa hummanities kipindi kile watakupa ufupi wa hii habari