Ushuhuda wa kweli na habari njema kwa taifa la Tanzania

Na wewe naye ulipelekwa Chuo Kikuu na ndo Elimu uliyoipata! Msomi wa Chuo Kikuu bado una mambo ya kufikirika!!
 
Hapo ulipokaa na kuandika haya, unafikiri Samia anacheza ngoma wakati wote huu ili dakika za mwisho abadili mwelekeo wa uchezaji wake?

Jambo pekee lililosalia kwa waTanzania ni kumkabili yeye na Genge lake. Hata kama huo muujiza mnaoutegemea nyinyi ungetokea, ni sahihi kabisa kumkabili bayana tokea sasa.

Nyinyi subirini huo muujiza; hakuna makosa kwa waTanzania kufanya wanachonuia kufanya kuondokana na uchafu huu.
Ni jukumu lenu wenye muujiza kumpelekea huo muujiza; waacheni waTanzania wajiandae vyovyote watakavyo ili kubadili hali ya nchi yao.

Mnatuletea habari za miujiza saa mbaya hii ili iweje, kama siyo mbinu za kipumbavu!
 
Poleni kwa familia zote ambazo kwa namna moja au nyingine wapendwa wenu hatupo nao tena lakini kama nisingepuuzwa tungeenda vizuri

Bado nasisitiza nchi hii itakombolewa.Ujumbe bado huko vile,haki ndio itarejesha amani(hii ni kwa watawala).Mtakaposhindwa kwa sasa ujue nakuja mimi na nakuja bila nguvu ya umma bali Mwenyezi Mungu aliyenipa kibali.

Tuendelee kuombea ndugu zetu waliofariki,taifa letu na viongozi wetu.Mwenye kupuuza hili ataniona mimi sasa wakati huu.Mungu yupo na ujumbe ndio huu(Nilisema vizuri lakini nikaonekana akili zimeruka lakini kama kuna mtu alisoma ujumbe wangu kwa umakini basi Mwenyezi Mungu amzidishie maisha marefu mpaka wakati wangu wakuja ukifika.Kuweni na subira,mkombozi wako yupo njiani.Saa na siku usiwaze)

Amani iwe kwenu
 
Please do something 😭😭😭
 
Aisee.... na sisi raia tufanye nn ndugu? Au tutulie tu?
 
Aisee.... na sisi raia tufanye nn ndugu? Au tutulie tu?
Binafsi kumpangia raia cha kufanya siwezi labda kutoa ushauri.Raia anaweza kufikiri kufanya chochote anachopenda ,kuhusu wakati huu ni muhimu kutulia kwanza.Utulivu unasaidia kujipanga na kuangalia nyuma makosa yalikuwa wapi na kujipanga upya kwa siku nyingine ikibidi

Sema tu nilitoa angalizo waliosoma kwa utulivu najua waliepuka mengi.

Nitakuja mimi wakati huu kuweni na utulivu.Najua kinachoendelea tulieni,watawaumiza sana mkikosa utulivu
 
Reactions: naa
Sawa sawa, yule mzee kikwazo cha mabadiliko mwisho wake utakuwaje? Na mtandao wake utakoma au tusijisumbue hatuwawezi?
 
Sawa sawa, yule mzee kikwazo cha mabadiliko mwisho wake utakuwaje? Na mtandao wake utakoma au tusijisumbue hatuwawezi?
Nadhani wote tumepata picha nguvu ya hawa mabwana waliyonayo.Mpaka sasa wapendwa wetu wengi wamepotea.Kuna familia leo hii tunapozungumza wana misiba zaidi ya miwili(hii inakupa picha hawa mabwana wananguvu kiasi gani na wanaweza kufanya nini)

Nguvu ya umma ni kubwa kupita kitu chochote lakini lazima tujue kusoma alama za nyakati.Binafsi ningependekeza utulivu kwa maana mambo yalivyo mpaka sasa lazima nitokee(hofu kwa mnaowaita wanamtandao kwangu hakuna maana nalijua taifa lako kupita mtu yoyote,naijua dunia unayaiona na usiyoweza kuiona,nakijua kifo kupita mtu anavyodhani).Nitakuja na kila kitu kitakuwa sawa(Naombeni utulivu wenu kwanza,hawa watu wana nguvu watawamaliza mkikosa subira tena)
 
Tukupe timeline kiasi gani? Give yourself specific time / deadline
 
Tukupe timeline kiasi gani? Give yourself specific time / deadline
Limit hii kitu ndani ya hii miaka mitano(hii ni kulingana ninavyosoma alama za nyakati lakini muda wa Mungu siwezi kujua lini sitaki nidanganye,ukweli ni kwamba lazima unione) sidhani kama itazidi kiongozi lakini hii ni live haitakosa kutokea
 
Tukupe timeline kiasi gani? Give yourself specific time / deadline
Umeniuliza swali la kimtego sana lakini itabidi hapa nikupe kitu kidogo na wewe cha kuumiza kichwa chako kidogo.

Hesabu za kimungu ni ngumu sana sio kama hizi hesabu zetu za 1+1=2(hapana utapotea na utadanganya lakini kuna kusoma nyakati unaweza kupata range ya muda wa jambo;ntajitoa mimi hapa kama case study)

Kwa sasa nina miaka 32.Kipindi yanatokea yote yaliyotokea(2016) nilikuwa na miaka 23.Kutoka 2016 mpaka 2025 ni miaka 9 imepita(miaka tisa mpaka kumi na tatu katika biblia nadhani nikipindi alikaa Yusuph toka maono mpaka yeye kutambulika,kama nimokosea muda unaweza kusoma bible ukapata jibu sahihi)

Maana yangu ni kwamba ukichukua miaka 9 ukaplus 5(2025-2030)unapata 14(huu ni muda mwingi kwa mtumishi wa Mungu kusubiri wakati akiandaliwa japo mipango ya Mungu hakuna ajuaye)

Nakupa sasa kisa ambacho ni cha kweli kingine ambacho sikueleza kabla(vipo vingi).Kwa wanaosoma bible kuna vitabu vimetaja sound of trumpet from Angels(nadhani ni book of revelation).Hizo trumpet nimezisikia mimi tena mara mbili sehemu mbili tofauti.Mara ya kwanza nilikuwa Dom kabla ya kwenda Dar(2016) mara ya pili nilikuwa Kakola(2016).

Mimi pekee naweza kuprove kwamba Mungu yupo maana ninakitu cha kipekee lakini mpaka unione na ntakuonyesha bure.Science zipo,ushirikina upo lakini Mungu yupo na ni mkuu.Kwahiyo ninavyokueleza kwamba utaniona nasema sibahatishi na nina ujumbe kwa Dunia nzima(kuhusu wakati; uwe na subira lakini lazima unione)

Kingine,taifa lenu ni teule na litakuja kuwa kubwa na kuheshimika ulimwenguni(changamoto zitakuwa nyingi lakini wenye kusubiri watafurahi)

Kuwa na amani nitakuja wakati ukifika
 
Sikilizeni nyie watawala(Rais na waliokuwa chini yako) ujue mnapenda kunipitisha kwenye mitihani mingi bila sababu(mnanichosha sana sasa).Ukame ndio huu unakuja na njaa inafuata(hili mnaliona au mpaka nije huko kwenye maofisi yenu sio?siji).Angalia hili au mtapoteza tena hapa.Hebu rudini msome niliwambia mfanye nini(mnavyopuuza ujue mnaweka vyeo vyenu na mamlaka zenu hatarini au hamjui?sio hivyo tu mnaenda kupoteza watu wenu tena).Hukumu yenu itakuwa mbaya nyie.Sasa puuza tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…