Ushuhuda wa ndoa ya wazazi wangu, baba aliachishwa kazi ghafla miaka 14 iliyopita. Mama amekuwa ndio kila kitu

tupo wengi sa a lakini kipindi una kazi uwe mwenye kutujali mimi na watoto
kama ni vice versa hakuna rangi utaacha ona
 
Mimi sitaweza kwakweli, miaka 14 bila kitu cha kufanya seriously??.. Labda kama ni ugonjwa maybe kapalarize au ulemavu nitavulimia ila sio tu kukaa bila kufanya kitu na ana nguvu zake anakula tu na kulala
Uenda mshua alijishughulisha ila hakuweza kutunza familia kwa standards kama za mwanzo alivyokua na ajira au la alipatwa na deppression akiingia kwenye ulevi wa kupindukia, Iyo miaka ni mingi sana kuna labda kuna kitu hapo kati mtoa mada katumia busara kukificha.
 
Mwanamke akikupenda kweli hawez shindwa fanya chochote kwaajili yako. Kumbuka hao hao wanawake unaosema wanapenda pesa huwa wanaenda kuwahonga wanaume wanaowapenda
Izo ni story tu wanawake mnatumia kama excuse ya kuhalalisha ukausha damu. Maajabu gani mnayowafanyia hao mnaowapenda? Kutumia nauli yako kumfata geto au zawadi boksa na soksi ndio kufanya chochote kwa ajili ya mwanaume?. Kila siku mwanamke akikupenda atafanya chochote kwa ajiri yako, kipi cha maana ambacho mnafanya kusema kweli hapa mwanamke amejitoa? Mnatununulia viwanja, mnatupa mitaji ya biashara?
 
Je, wanawake wa sasa hivi wanaweza kuishi na mwanaume asiye na kipato kwa miaka 14 bila hata kusikia ugomvi wa masuala ya kifedha...

Kila nikimuangalia mama huwa najiuliza, wapi naweza kupata aina hii ya wanawake ili niishi kwa amani nikijua kwamba nina jembe ndani. Hata siku nikikosa naweza kurudi nyumbani nikamwambia akanielewa...[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha utani mkuu,huko ni kwetu wanawake dizaini iliyoelezwa hawapo.
Nitajie jina la kijiji nikahakikishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…