Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana nili shangaa, nili hisi ni Simu yangu.Yeah, naona hai function tena
Ooh Pole Sana aiseeNdo maana nili shangaa, nili hisi ni Simu yangu.
👉SI una jua nanjilinjii 🤓
Uenda mshua alijishughulisha ila hakuweza kutunza familia kwa standards kama za mwanzo alivyokua na ajira au la alipatwa na deppression akiingia kwenye ulevi wa kupindukia, Iyo miaka ni mingi sana kuna labda kuna kitu hapo kati mtoa mada katumia busara kukificha.Mimi sitaweza kwakweli, miaka 14 bila kitu cha kufanya seriously??.. Labda kama ni ugonjwa maybe kapalarize au ulemavu nitavulimia ila sio tu kukaa bila kufanya kitu na ana nguvu zake anakula tu na kulala
Izo ni story tu wanawake mnatumia kama excuse ya kuhalalisha ukausha damu. Maajabu gani mnayowafanyia hao mnaowapenda? Kutumia nauli yako kumfata geto au zawadi boksa na soksi ndio kufanya chochote kwa ajili ya mwanaume?. Kila siku mwanamke akikupenda atafanya chochote kwa ajiri yako, kipi cha maana ambacho mnafanya kusema kweli hapa mwanamke amejitoa? Mnatununulia viwanja, mnatupa mitaji ya biashara?Mwanamke akikupenda kweli hawez shindwa fanya chochote kwaajili yako. Kumbuka hao hao wanawake unaosema wanapenda pesa huwa wanaenda kuwahonga wanaume wanaowapenda
Je, wanawake wa sasa hivi wanaweza kuishi na mwanaume asiye na kipato kwa miaka 14 bila hata kusikia ugomvi wa masuala ya kifedha...Habari wana JF
Leo nawapa ushuhuda wa maisha ya ndoa ya wazazi wangu...
Baba aliachishwa kazi ghafla miaka 14 iliyopita. Mama anafanya biashara ndogondogo amekuwa ndio kila kitu chakula, mavazi, ada za shule na mahitaji mengine...
Wakati baba anaendelea kufatilia kesi yake ya kuachishwa kazi bila sababu na fidia zake ambazo hakuweza kuzipata mpaka tunamzika mwaka jana RIP....
SOMO
Je, wanawake wa sasa hivi wanaweza kuishi na mwanaume asiye na kipato kwa miaka 14 bila hata kusikia ugomvi wa masuala ya kifedha...
Kila nikimuangalia mama huwa najiuliza, wapi naweza kupata aina hii ya wanawake ili niishi kwa amani nikijua kwamba nina jembe ndani. Hata siku nikikosa naweza kurudi nyumbani nikamwambia akanielewa...
Mahusiano siku hizi bila pesa hayaendi kabisaa....
Ndoa zimekuwa kama business partnership....
Acha utani mkuu,huko ni kwetu wanawake dizaini iliyoelezwa hawapo.Mimi mzee aliachishwa kazi
Alikaa kitaa miaka 4 juu ya mawe Hana ramani.
Bimkubwa alisimamia shoo zote za home.
Hadi mzee akaja pata kazi tena sehemu nyingine. Maisha yakastabilize
Leo wote tumesepa home wako wenyewe tu. Na kazi zao.
Wanawake wa dizaini hii washaisha hawako
Labda umtoe kijijini hasa vijiji vya nyanda za juu kusini huko.