Mtoto wa Golden Paste
Senior Member
- Jul 7, 2020
- 166
- 120
- Thread starter
- #21
Sawasawa,atakae tapeliwa atasema hapa hapa jukwaani. Maana si lengo la uzi huuUtapeli.
Narudia tena huu ni utapeli.
Ngoja nikazie tena, HUU NI UTAPELI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa,atakae tapeliwa atasema hapa hapa jukwaani. Maana si lengo la uzi huuUtapeli.
Narudia tena huu ni utapeli.
Ngoja nikazie tena, HUU NI UTAPELI.
Fanya unachoamini mkuu,kila mtu anaishi na kile anachoona kwake ni bora kwa ajili ya maisha yake hivyo simamia unachoamini.Umavi mwingine bna, fanyeni kazi vijana mzalishe., tamaa zitawatoa roho. watakaopigwa nao walewale, wanataka watembee juu ya ganda la ndizi, wapgwe tu hakuna namna.
Mkuu kila mtu anafanya anachoona ni bora kwake so just play your part. Kama wewe waona ni makororo lakini wenzako wamepata so simamia unachoona kwako sahihiSijaona rupia hapo zaidi nimeona makorokoro tu.
Hizo nguvu,nia na pesa mnazozitumia kutafuta rupia ya kale ya mjerumani mngezielekeza kwenye maisha ya kila siku si mngekuwa maili mia mbele kimaisha.
Jaribu kutembelea nchi yetu utajifunza mengi mkuuntafuatilia
Hizo ni baadhi ya mali kale zilizotengenezwa kwa madini ya Uranium na DiamondNdo vidude gani hivyooooh
Hizo ni baadhi ya mali kale zilizotengenezwa kwa madini ya Uranium na Diamond
Mkuu wataalamu niliowakuta pale ndiyo waliothibitisha kuwa vito hivyo vimetengenezwa kwa madini ya diamond na Uranium na si mimi,kwa hivyo mantiki niliyopata pale ndiyo iliyotumika kufikisha ujumbe hapaMkuu, Uranium unaijua au unaisikia???.----- ni madini hatari sana kwa afya ya mtu yanapokuwa wazi namna hiyo hasa ukiyakaribia, saa zote huwa yanatoa miale-sumu (ionising radiations).
Mkuu wataalamu niliowakuta pale ndiyo waliothibitisha kuwa vito hivyo vimetengenezwa kwa madini ya diamond na Uranium na si mimi,kwa hivyo mantiki niliyopata pale ndiyo iliyotumika kufikisha ujumbe hapa
Duuuuuh hatareeeeeh sanaaahHizo ni baadhi ya mali kale zilizotengenezwa kwa madini ya Uranium na Diamond
Kwa maelezo yao wanasema baada ya kuzibua sanduku lililokuwa na vitu kule ndani ya shimo walitoka wakakaa nje zaidi ya masaa 3 kupisha hewa ile nzito itoke kwanza ndipo wakarejea tena kwa ajili ya kutoa vitu hivyo,muda niliofika nilikuta tayari sanduku ambalo lilikuwa na sarafu wamekwisha liondoa pale kwa hivyo sikufanikiwa kuona vitu vyote ikiwemo pia na kuhofia usalama waoKama kweli Uranium ipo hapo, basi watu wote walioishika au kuikaribia tayari wapo hatarini kupata kansa wakati wowote, Uranium ni silent killer.
Vito vya thamani vinavyopatikana kama Mali kale zina soko lake hata kama imetengenezwa na madini yanayotambulika ni lazima akauze sehemu sahihi, kutokana na maelezo ya wataalamu niliowakuta paleDiamond!!! Halafu wawe bado wanatafuta soko?
Mkuu, naona unakazia kuhusu hao wataalamu uliowakuta pale. Ila tu nikwambie kuwa ukiwa na madini yoyote ya thamani kama metals (dhahabu, silver etc) au vito (ruby, sapphires, garnets, diamonds etc) huwezi hangaika na masoko, KAMA MALI YAKO NI SAHIHI NA HALALI. Nasema hivyo kwa sababu nimewahi kimbiza biashara ya dhahabu miaka ya 2015. Ukiona mtu ana madini, na miongoni mwa madini yenyewe ni diamonds, na huyo mtu akasema hajui akauzie wapi, then something is wrong somewhere. Smells FISHYVito vya thamani vinavyopatikana kama Mali kale zina soko lake hata kama imetengenezwa na madini yanayotambulika ni lazima akauze sehemu sahihi, kutokana na maelezo ya wataalamu niliowakuta pale
Sahihi, wanasema yanafanya emmision of radiations na hupungua half of it per each year Kama sikosei.!!Kama kweli Uranium ipo hapo, basi watu wote walioishika au kuikaribia tayari wapo hatarini kupata kansa wakati wowote, Uranium ni silent killer.
Sahihi, wanasema yanafanya emmision of radiations na hupungua half of it per each year Kama sikosei.!!
Huu Ni uhuni wa wazi.
Yani upat kitu kimetengenezwa kwa diamond halafu uhangaike kutafuta soko? By the way hivi diamond unaijua kweli? hapo sijaona kilichotengenezwa kwa diamondSio chuma mkuu,hizo ndizo mali kale ambazo zilikuwa zimehifadhiwa ardhini kwa muda mrefu na vyote vimetengenezwa kwa madini ya Uranium na Diamond.
Kuhusu thamani yake bado hawajajua maana wanatafuta soko.
Yani upat kitu kimetengenezwa kwa diamond halafu uhangaike kutafuta soko? By the way hivi diamond unaijua kweli? hapo sijaona kilichotengenezwa kwa diamond