Ushuhuda wa uwepo wa mali za Kijerumani

Ushuhuda wa uwepo wa mali za Kijerumani

Habari wana Jf
Kwa muda mrefu sasa nilikuwa nikifuatilia ndani na nje ya JF kuhusu mali alizoacha mjeruman kipindi anaondoka nchini miaka mingi iliyopita. Kila mtu alitoa mtazamo wake juu ya mali kale zilizoachwa katika sehemu mbalimbali ndani ya nchi yetu. Wapo waliosema kuwa mzungu hawezi kuacha mali lazima aliondoka nayo,wengine wakasema kuwa hiyo ni ndoto hakuna kitu kama hicho,wengine wakaenda mbali zaidi wakihusisha mali zilizoachwa na ushirikina na wengine wakasema hiyo ni ndoto na hakuna kitu kama hicho kuhusu mali zilizoachwa na wajerumani.

Kwa miaka mitatu ambayo nilitaka kujua undani wa jambo hili ikiwemo na kutembelea sehemu mbalimbali ikiwemo mkoa wa TABORA na SINGIDA hatimae nimeweza kubaini ni kweli wajerumani waliacha mali zao nchini mwetu na uwezekano wa kuzipata upo.

Siku ya tarehe 9 julai 2020,nilitembelea site moja iliyopo mkoa wa Singida wilaya ya Ikungi na kufanikiwa kuonana na vijana ambao wamefanikiwa kupata hazina hizo za mjerumani kama moja ya mapambano ya kutafuta ridhki.
Kiukwel sikuwahi kuamini kama kuna ukweli wowote juu ya uwepo wa mali hizi za kijerumani ila nimeweza kujionea mwenyewe kwa macho yangu baadhi ya vitu walivyofanikiwa kuvipata katika moja ya site iliyokuwa vimehifadhiwa vitu hivyo.

NB;Lengo la post hii ni kutoa ushuhuda tu kuwa mali za kijerumani zipo na si uongo wala mambo ya kishirikina,sijaweka post hii kwa lengo lolote lile tofauti na kutoa ushuhuda pekee.View attachment 1505966
Hivyo ni mabaki ..mali halisi zilishaondoshwa
 
giphy.gif
 
Maelezo zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kweli Uranium ipo hapo, basi watu wote walioishika au kuikaribia tayari wapo hatarini kupata kansa wakati wowote, Uranium ni silent killer.
Acha uwongo Basi Mambo sio rahisi kihivyo. Dose ya siku moja haiwezi kukupa kansa Kama ni hivyo wakina Pierre, marie na Rutherford wangekufa bila ya hata kufanya ugunduzi
 
Wewe umesoma chanzo cha kifo cha huyo Marie Curie ??--- huyo kipindi ana deal na hizo radioactive elements wala hakuwa akijua kuwa zilikuwa ziki emit the hazardous radiations, tofauti na leo ambapo wanasayansi lazima wavae protective gears wanapo deal na hizo elements.

Nimesema radioactive elements ni silent killers na hiyo inategemea umekuwa exposed kwazo katika dose kiasi gani na kwa muda gani.
 
MWENYE RUPIA ZIFUATAZO: FUFUMARK, RUPIA YA SIMBA WAWILI, RUPIA YA KITUMBUA , RUPIA NYEKUNDU , DINALI YA JICHO... NA MWENYE VITU VIFUATAVYO: MAJI MEKUNDU AU MEUSI (MERCURY) , MWENYE PASI , JIKO , CHEMLI , KIKOMBE , KUFULI NA VIFAA VYA MATUMIZ YA MAJUMBAN.. TAJIRI YUPO NA BIASHARA INAFANYIKA DAR ES SALAAM KWA UHAKIKA NA UFANISI WA HALI YA JUU, MATAPELI TAFADHALINI MKAE MBALI NA HILI HATUNA MUDA WA KUPOTEZA CONTACT 0716637717, 0785510604 AU 0769767771
 
SOKO LA KUAMINIKA LA MALI ZA KIJERUMANI TU LIPO HAPA DAR ES SALAAM VITU VIFUATAVYO AU VYENYE UKARIBU NA HIVI ... MERCURY , PASI, STOVA, KOROFINDO, KUFULI , KIKOMBE, CHEMLI.. PIA FUFUMARK , RUPIA NYEKUNDU, RUPIA YA KITUMBUA , RUPIA YA SIMBA WAWILI ,DINALI. TAFADHALI VIGEZO KUZINGATIWA NA HAKIKISHA MZIGO USIWE NA MASHARTI YA BABU AU BIBI ANATAKA HV AMA VILE LETA KAZI TUFANYE KAZI SOKO LIPO BILA SHAKA ....0785510604,. 0716637717,. 0752591369
 
mkuu tafuta jembe ukalime tu!
 
Back
Top Bottom