T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Unaijua Uranium au umeamua kuongea tu? Wajerumani waliondoka lini na Uranium waliitumia kutoka wapi, nani kakwambia inakuwa stored kama mavyuma.Sio chuma mkuu,hizo ndizo mali kale ambazo zilikuwa zimehifadhiwa ardhini kwa muda mrefu na vyote vimetengenezwa kwa madini ya Uranium na Diamond.
Kuhusu thamani yake bado hawajajua maana wanatafuta soko.
Haaah shule muhimu sana. Ona hata ukiwa na mtoto hana shule hawezi kutunga angalau uongo[emoji30][emoji30].Mkuu wataalamu niliowakuta pale ndiyo waliothibitisha kuwa vito hivyo vimetengenezwa kwa madini ya diamond na Uranium na si mimi,kwa hivyo mantiki niliyopata pale ndiyo iliyotumika kufikisha ujumbe hapa
Habari wana Jf
Kwa muda mrefu sasa nilikuwa nikifuatilia ndani na nje ya JF kuhusu mali alizoacha mjeruman kipindi anaondoka nchini miaka mingi iliyopita. Kila mtu alitoa mtazamo wake juu ya mali kale zilizoachwa katika sehemu mbalimbali ndani ya nchi yetu. Wapo waliosema kuwa mzungu hawezi kuacha mali lazima aliondoka nayo,wengine wakasema kuwa hiyo ni ndoto hakuna kitu kama hicho,wengine wakaenda mbali zaidi wakihusisha mali zilizoachwa na ushirikina na wengine wakasema hiyo ni ndoto na hakuna kitu kama hicho kuhusu mali zilizoachwa na wajerumani.
Kwa miaka mitatu ambayo nilitaka kujua undani wa jambo hili ikiwemo na kutembelea sehemu mbalimbali ikiwemo mkoa wa TABORA na SINGIDA hatimae nimeweza kubaini ni kweli wajerumani waliacha mali zao nchini mwetu na uwezekano wa kuzipata upo.
Siku ya tarehe 9 julai 2020,nilitembelea site moja iliyopo mkoa wa Singida wilaya ya Ikungi na kufanikiwa kuonana na vijana ambao wamefanikiwa kupata hazina hizo za mjerumani kama moja ya mapambano ya kutafuta ridhki.
Kiukwel sikuwahi kuamini kama kuna ukweli wowote juu ya uwepo wa mali hizi za kijerumani ila nimeweza kujionea mwenyewe kwa macho yangu baadhi ya vitu walivyofanikiwa kuvipata katika moja ya site iliyokuwa vimehifadhiwa vitu hivyo.
NB;Lengo la post hii ni kutoa ushuhuda tu kuwa mali za kijerumani zipo na si uongo wala mambo ya kishirikina,sijaweka post hii kwa lengo lolote lile tofauti na kutoa ushuhuda pekee.View attachment 1505966
Hao wataalamu gan hao? Hapo kwenye picha uliyoweka hamna diamond hizo ni Gold/dhahabu kuwa makin hapo hakuna wataalamu hao ni matapel wanakuingiza imani uwaamin ili upate hamasa ya kujiingiza huko upigwe helaMkuu wataalamu niliowakuta pale ndiyo waliothibitisha kuwa vito hivyo vimetengenezwa kwa madini ya diamond na Uranium na si mimi,kwa hivyo mantiki niliyopata pale ndiyo iliyotumika kufikisha ujumbe hapa
Masoko y madini yote yanasimamiwa na gvt nenda hata kituo cha polisi watakuelekeza uwe laizer wa pili.....stop ujingaSio chuma mkuu,hizo ndizo mali kale ambazo zilikuwa zimehifadhiwa ardhini kwa muda mrefu na vyote vimetengenezwa kwa madini ya Uranium na Diamond.
Kuhusu thamani yake bado hawajajua maana wanatafuta soko.
Uranium unaijua wewe?Sio chuma mkuu,hizo ndizo mali kale ambazo zilikuwa zimehifadhiwa ardhini kwa muda mrefu na vyote vimetengenezwa kwa madini ya Uranium na Diamond.
Kuhusu thamani yake bado hawajajua maana wanatafuta soko.
Ushukuru Mungu na hao wajukuu ue nao bila hvyo wazee wa kijiji chako ndio watakao kuja kukuokota uko mapangon mana huta kubal kutoka uko bila kua na hela kumbe ndio unapoteza mudaUkitaka upoteze mali na umri wako wote wa ujana kwa safari nyingi zilizojaa giza, jiingize kwenye hapa mambo ya kutafuta sijui rupia sijui hadhina ya mjerumani,,, yan utakuja kuwasimulia wajukuu zako uzeeni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu mdau sijui anataka awaingize watu cha kike, au yeye ndo anataka kuingizwa cha kike huko singida Yan had sasa sijamuelewaushukuru Mungu na hao wajukuu ue nao bila hvyo wazee wa kijiji chako ndio watakao kuja kukuokota uko mapangon mana huta kubal kutoka uko bila kua na hela kumbe ndio unapoteza muda
Wanatafutaje soko na mali za mjerumani? Mali si yako unaitafutia soko? Kwanza aliyethibitisha kuwa ndo zile za mjerumani ni nani?Sio chuma mkuu,hizo ndizo mali kale ambazo zilikuwa zimehifadhiwa ardhini kwa muda mrefu na vyote vimetengenezwa kwa madini ya Uranium na Diamond.
Kuhusu thamani yake bado hawajajua maana wanatafuta soko.
Kwa uelewa wangu, mimi nimeona mfano wa bracelet na Heren idk bt the point ni kila kitu kina thamani kwa Eneo husika.... Unaweza ukawa na saa ya miaka 300 ilyochakaa na isionekana thaman yake ktk maduka ya Vito ila thamani yake itkuwepo ktk majumba ya makumbusho ( museum )Ungetuambia sasa hizo mali ni mali za namna gani na thamani yake ni ipi? Hapo naona mawe, udongo, vitu mfano wa vyuma etc, ndio mali zenyewe???
Sio chuma mkuu,hizo ndizo mali kale ambazo zilikuwa zimehifadhiwa ardhini kwa muda mrefu na vyote vimetengenezwa kwa madini ya Uranium na Diamond.
Kuhusu thamani yake bado hawajajua maana wanatafuta soko.
haya ukupga pcha zngne[emoji16][emoji16] naamn kuna watu walmfata pm mpga pcha wetuSikupiga picha nyingine mkuu
Hata Kama uranium Ni hatari, Ina sifa Moja kuu, ya kubadilika kila Mara inapokaa muda fulani. Kwahiyo sioni ajabu kutumika kutengeneza hivyo vitu.Mkuu wataalamu niliowakuta pale ndiyo waliothibitisha kuwa vito hivyo vimetengenezwa kwa madini ya diamond na Uranium na si mimi,kwa hivyo mantiki niliyopata pale ndiyo iliyotumika kufikisha ujumbe hapa