Ushuhuda wadada: Ulijisikiaje siku mpenzi wa zamani alipooa wakati wewe bado hujaolewa?

Kwamba vijeba wanajipigia kwa zamu[emoji23]
 
Pole kwa yaliyokutokea ni sehemu ya maisha, pamoja na kuwa si kila mmoja atapitia matukio ambayo mwengine anapitia.
 
Wanawake wengi hua wanapoteza potential husbands kwa vigezo vyao vya kijinga.

Kupewa utam hadi siku ya ndoa ndio ujinga ambao siwezi kufanya maisha yangu yote hata kama mwanamke ni malaika alieshuka toka kusikojulikana.
Mi nashukuru sana uwepo Wa jf,kuna msichana alinipa sharti kama hlo afu sio bikira,ila nkakutana na Uzi tofaut tofaut humu wengi wanasema ni ujinga kusubir ndoa,hatimae nmeamua kumkaushia huyo demu
 
Wanawake wengi hua wanapoteza potential husbands kwa vigezo vyao vya kijinga.

Kupewa utam hadi siku ya ndoa ndio ujinga ambao siwezi kufanya maisha yangu yote hata kama mwanamke ni malaika alieshuka toka kusikojulikana.
Utakuwa ni taahira kama utakubali kusubiria wakati mtu mwenyewe ni "USED" tayari
 
hahaha kama analia kweli basi huyo ulokole wake ni wa maigizo tu.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]

Kinachonishangaza mm kwann analiaa!!?
hapo ndio alitakiwa kujipa moyo wa ushindi maana amekuwa jasiri na kuweza kuisimamia imani,

Kulia kwake inawezekana anajutia kwann hakubeba mimba ya huyo mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…