The Dark Father
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,144
- 1,408
Haya maisha president san kutoa ushaur ila kuutumia ushaur wako kutibu tatizo lako ndo utata unapoanzaHuyo hakuwa wake.....Mungu hakupi unachotaka anakupa unachostahili,..ningekuwa mm ndio yeye ningepiga goti madhabahuni na kutoa sadaka ya shukrani kwasababu tumeambiwa tushukuru kwa kila jambo,.
Mungu akawe mfariji wake.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Kwenye uzi wa kumiliki PM ya member wa JF, kuna mtu alisema anapenda kumiliki PM yako ili aone jinsi unavyowashauri watu.
Hakika nimeamini kwa asilimi nyingi japo sio zote. Ahsante kwa post hii
hahaha mkuu umeongea kwa uchungu na msisitizo wa hali ya juu ulitukukaWanawake wengi hua wanapoteza potential husbands kwa vigezo vyao vya kijinga.
Kupewa utam hadi siku ya ndoa ndio ujinga ambao siwezi kufanya maisha yangu yote hata kama mwanamke ni malaika alieshuka toka kusikojulikana.
dah pole kiongozi wangudah nyie acheni tu,naweza kusema ni zaidi ya kuumia kupenda ni mtihani nyie.Mie nilikaa week kama chizi yani dah,acha tu mtu anakuja anaingia moyoni mnakuwa mnapendana na kuzoeana then mwisho wa siku ana change unaweza kujinyonga,thanks god niko salama lakini kwa kilichonikuta dah mungu ndo anajua
sasa je kama she male je ntajuaje au unataka tuwe tunatombana zamu zamu uwe nikistuka usiku ushachomekaaKwani haifai bila kutest?
Kumpa zawadi siku nyingine kungeleta mgongano wa kimaslahi. Sikutaka nimletee shida katika ndoa yake changakwani zawadi inatakiwa siku ya ndoa tu si hata leo unaweza kumpa tu Thad [emoji3][emoji3]
Uoga wako tu, mm sioni kama ingeleta shida.Kumpa zawadi siku nyingine kungeleta mgongano wa kimaslahi. Sikutaka nimletee shida katika ndoa yake changa
Lkn ukumbuke kuwa huyo unayemtetea kuwa abanane na mungu wake ndio alikuwa anamwaga chozi,au huo mstari haujauona kwa mleta uzi?Wewe ndo unaona tatizo, kwake yeye ndo maisha yake aliyoyachagua. Kila watu wana taratibu zao wanazozifuata ukitaka kuoa/kuolewa kwao, na ni sawa kabisa. Wewe ukiona zinakushinda, tafuta ambaye choices na formalities zake zinaendana na wewe
Kama mtu alisex ila akaona ni ubatili tu akaamua kurudi kwa Mungu wake, who are you to judge her? Tafuta mtu anayeamini kile unachokiamini, ukiona ya walokole huyawezi, kausha tu
Hata jambazi akifa huwa tunamlilia, but inawezekana kimoyomoyo tunashukuru kuwa angalau mauaji yatapungua na Mali za watu zitapona. Mtu kulia sio kwamba ndo anakutakaaaa, saying goodbye isn't an easy task. Muda mwingine unalia tu yale mazoea ya kuwa na huyo mtu, ila after weeks unapiga tu "akwendreeeee"Lkn ukumbuke kuwa huyo unayemtetea kuwa abanane na mungu wake ndio alikuwa anamwaga chozi,au huo mstari haujauona kwa mleta uzi?
Kwa kweli ni ujinga. Unaenda kuolewa mwanaume hana nguvu za kiume anakudanganya na yeye anasubiri ndoa. Sharti langu la kwanza kwa atakaetaka kunioa ni kuishi mimi na yeye under same roof kwa miezi sita halafu taratibu zingine ziendelee. Na utakuta huyo anaeleta hizo sijui kuonjana ni mpaka ndoa hana hata bikra.Wanawake wengi hua wanapoteza potential husbands kwa vigezo vyao vya kijinga.
Kupewa utam hadi siku ya ndoa ndio ujinga ambao siwezi kufanya maisha yangu yote hata kama mwanamke ni malaika alieshuka toka kusikojulikana.
Sasa anamwaga chozi la nn wakati yeye ni mlokole? Nadhani sasa amejifunza kuachia hiyo **** ijazwe mimba ili kusudi apate kuolewa.Wakuu,
Hapa ninavyoandika ni kuwa harusi inanguruma kanisani na ni karibu na maeneo ya shoga yangu kipenzi.
Alinipigia simu nikambembeleze maana mwanaume aliyekuwa naye alimuacha kwa kuwa alimnyima 'utamu' .
Ananiambia huyo jamaa walikaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi ila jamaa alikuwa anataka abebe mimba ndio amuoe.
Dada wa watu ni mlokole akamwambia asubiri kwanza mpaka wafunge ndoa.
Jamaa akamuacha akaanza mahusiano na mtu mwingine kwa siri. Akapewa tamu mimba ikaingia.
Jamaa fasta kamvisha pete na leo ndio ndoa yenyewe.
Dada alipo hapa anamwaga chozi...
wadada wengine sio wa kuwaamini! wachungaji wao wana wageuza wake zao wapemben halafu wakitangaza ndoa wachungaj wanakuwa wakali eti hakuna kugusana wakati mchungaji anakula haphapoInauma kwa muda tu then atapoa tu, kuna ile mtu ulimpenda + mazoea ndo yanaumiza. Inawezekana kabisa yeye angebeba mimba na hata asiolewe, akaishia kuwa single mom tu. Wapo wanawake wengi tu walikuwa wanabembelezwa wazae, now hawaamini kilichowakuta after kubeba mimba; kuzaa sio kuolewa.
Kama anachokifanya, anakifanya kwa ajili ya Mungu wake, she is doing the best thing na Mungu anayemtumania wala hatomuacha aaibike. God has something very amazing in store for her, awe tu mvumilivu, atalia machozi ya furaha na kusema Mungu ahsante nilipita tu kule. Nampa hongera, maana wengi wetu huwa tunachagua tamaa zetu, tunamuweka Mungu wa pili; na huwa tunavuna tunachopanda kwa kweli
Jamani too much negativities with Wachungaji na Waumini wao. Najua wengi wetu hatupendi mambo ya kupelekana kwa Wachungaji and all that, so tuchukuane tu ambao hatuna huo utaratibu. Hata baba angu mzazi anaweza akakutaa, sasa mbona Mchungaji akikutaa unamuona anatembea na binti? Afu uzuri wa kanisani unashauriwa tu, at the end of the day unaamua mwenyewe kipi cha kushikilia. Tafuta ambaye hana utaratibu wa kanisani period, wao waache waendelee na Wachungaji waowadada wengine sio wa kuwaamini! wachungaji wao wana wageuza wake zao wapemben halafu wakitangaza ndoa wachungaj wanakuwa wakali eti hakuna kugusana wakati mchungaji anakula haphapo
Halafu hii inafaida hata kwa upande wenu, unaweza ukaja kuolewa na shoga siku mojaKwani haifai bila kutest?
Labda kama ni bikra hapo sawaWakuu,
Hapa ninavyoandika ni kuwa harusi inanguruma kanisani na ni karibu na maeneo ya shoga yangu kipenzi.
Alinipigia simu nikambembeleze maana mwanaume aliyekuwa naye alimuacha kwa kuwa alimnyima 'utamu' .
Ananiambia huyo jamaa walikaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi ila jamaa alikuwa anataka abebe mimba ndio amuoe.
Dada wa watu ni mlokole akamwambia asubiri kwanza mpaka wafunge ndoa.
Jamaa akamuacha akaanza mahusiano na mtu mwingine kwa siri. Akapewa tamu mimba ikaingia.
Jamaa fasta kamvisha pete na leo ndio ndoa yenyewe.
Dada alipo hapa anamwaga chozi...
Lakini kama mwanamke sio bikra mimi sioni haja ya kutofanya mapenzi kabla ya ndoaInauma kwa muda tu then atapoa tu, kuna ile mtu ulimpenda + mazoea ndo yanaumiza. Inawezekana kabisa yeye angebeba mimba na hata asiolewe, akaishia kuwa single mom tu. Wapo wanawake wengi tu walikuwa wanabembelezwa wazae, now hawaamini kilichowakuta after kubeba mimba; kuzaa sio kuolewa.