Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuunga mkono kwa uliyoyaandika......kila sehemu kuna namna wanavyomfahamu mnyama radi binafsi nilishawahi kuona tukio la mti kupigwa radi lkn nilipofika kuangalia nikakuta kuna makucha ya mnyama yamekwaruza hivyo nami nikaanza kupata wasiwasi huenda radi ni mnyama kweli......vitu kama hivi ukimueleza mtu anaejidai ni msomj hawezi kuelewaStory za wazee wa mkoa wa njombe ndani ndani huko wanadai radi ni mnyama kama kondoo vile na ana miguu sita pia na msumeno mgongoni, wapo walio wahi kutana nae wote wanasimulia mfanano huo ila mwishoe huishia na mianga mikali na ngurumo zisizo na kifani yaani hii radi tuijuayo. Wana dhana nyingine kwamba radi za namna hii (radi zenye mkono wa mtu) huchochewa na kuvaa nguo rangi nyekundu ila hukingwa kwa kukaa jirani na mnyama kondoo, inasemekana kondoo hupigana na huyo mnyama radi, pia kukaa eneo lenye mianzi (baobab tree) inasemekana radi ikipiga lile eneo lile basi anaweza akanasa kwenye mianzi hiyo kama mnavyojua mti wa mwanzi ulipasuliwa katikati huwa na uwezo mkubwa wa kubana ktkt yake.
Twaweza chukulia tu ni story ila wazee wale walikuwa serious kwa hizo story, ila wao wanàamini hivyo sasa wewe nenda na physics zako utake kufanya majaribio, kuna story moja niwape kwa ufupi, kuna mradi mmoja uliitwa NDDT Ulitekelezwa kuanzia miaka ya 1980's katikati mpka miaka ya 2010 hivi ulikuwa chini ya NORAD, NIDA NA SWEDISH yaan zile nchi za scandinavia waliungana, walipeleka wazungu kujitolewa kama walimu walijenga camps za shule ziliitwa maarufu shule za NDDT, sasa miaka ya 90 mwanzoni kuna mzungu alikuwa na mahusiano mazuri na jirani yake ambaye ni mwenyeji, siku akamuuliza naskia kuna usafiri wa chap chap wa kufumba na kufumbua ni kweli? Yule mzee jina nahifadhi alimjibu hata mimi ni mtaalamu, akamwambia siku moja tujaribu wakakubaliana hivyo, siku imefika alipewa maelekezo yote alitekeleza destination yao ikawa na njombe mjini kiasi cha kama 80 km kutoka hapo kijijini Lupembe, basi bwana aliambiwa fumba macho akafumba baada ya muda fumbua akafumbua, ile kufumbua alikuwa nje ya hotel ya magazeti, enzi hizo ni hotel maarufu sana njombe, basi mzungu yule akaingia hotelini akaagiza soda, akanywa akamwambia mzee mwavi.... Nirudishe process ikarudiwa akawa nje ya nyumba ya yule mzee, mzungu akaaaga akarudi kwake, akatafakari, aka ona bora a park mizigo yake arudi tu ulaya.
Kama wewe ni mzaliwa wa Dar es salaam au sio mkazi wa nyanda za juu kusini utaona hizi ni story tu, pole sana!
Radi INA dhana nyingi INA tegemea na aina ya radi....kama zile za kutumwa je?Kuna mtu alinishauri kwamba radi dawa yake uvae viatu tu hata iwe vipi haitakupata
Swali: Wale wanaopigwa na radi wote huwa wanakua hawajavaa viatu????
Ww utakuwa msukuma maana hadith kama hizi wasukuma wanazipenda sana HAKUNA KITU kama bwana mkubwaNaam,
Kumekuweko na speculation nyingi kuhusu RADI. Nyingi zikihusisha radi katika makundi mawili, ambayo ni radi kisayansi,kama umeme asilia na Radi kiimani. Wengi wakiihusisha na ushirikina.
Binafsi ziko katika upande wowote Kati ya hizo pande mbili hapo juu, bali naeleza kile nilichopata kukishuhudia mara mbili kwa macho yangu mawili, utotoni( adolescent age) na ukubwani kidogo nikiwa najitambua.
Nikiwa na yapata miaka kadhaa, tukiwa porini tunachunga ng'ombe tukiwa rika vijana wadogo watatu tuliona jogoo mzuri pembezoni na maeneo tuliyopo, alikuwa anaevutia tulimnyatia na tukamkamata jogoo alikuwa na kila kitu chekundu kuanzia mdomo,manyoya hadi miguu tukamfikisha nyumbani huku manyunyu ya mvua yakiendelea kuongezeka, tukamfungia jogoo jikoni na wengine wakiirudisha mifugo zizini.
Tukiwa tumefurahi na tukiendelea na michezo kwani kitoweo kimepatikana, tukamwambia bibi kuwa tumeokota kuku machungani na tumemfungia yumo jikoni. Bibi kwenda kuangalia! Lahaula! Alianza kupiga kelele za yowe kwa majirani, unajua umbali uliopo baina ya mji na mji. Aliendelea huku analia na kukimbiza huku na kule huku mvua ikiendelea kunyesha.
Baadhi ya watu waliendelea kujaa, na kutahamaki tukasikia ngurumo kubwa na miale ya radi iliipiga ile nyumba ambayo ndio huko tulipomfungia yule kuku. Wote tuliinama kwa yoga na baada ya mvua kukatika tukagundua kuwa yule kuku hakuwemo tena na alipotea ghafla baada ya Radi ile kutoweka, na haikuleta madhara makubwa sana.
Tukio la pili;-)
Nikiwa likizo last year Std Vii kama ilivyo kawaida nilimtembelea bibi na babu(R.I.P), katika mizunguko yetu ya hapa na pale, tulitenbelea mtoni kuogelea na kupiga stori mbili tatu na washkaji wa kunijibu, maana tulikuwa hatusomi pamoja tena,mimi nilikuwa nikija huku kwa ajili ya likizo tu.
Tukiwa tunaendelea kuogelea kea mbali kidogo niliona tukio kama lile lililotutokea miaka kadhaa nyuma na kufanya tupokee kichapo toka kwa babu, niliona jogoo wa dizaini ile ile! Mwekundu Tii! Akiwa pembeni ya mto akizamisha kichwa makini na kutoa mara kwa mara huku akipigapiga mabawa.
Mapigo ya moyo yalianza kunienda mbio kwa woga hofu! Kwani nilihisi kinachokaribia kutokea na pembeni kulikuwako na vijana wadogo wanachunga.
Kwa hofu tulikuwa tukimuangalia yule jogoo anaevutia sana na wenzangu wote tukiwa tumetoka mtoni tuko pembeni,ghafla ulisikika muungurumo na mitetemo kikubwa+ miale kadhaa ya mianga(Radi) na pale pale ng'ombe watatu walipigwa na Radi pale pale na kufa!.on the spot!.
Haya nimeyashudia mwenyewe kwa macho yangu,nikiwa na akili timamu!
Sayansi inaamini ni umeme wa asilia, lakini napata ukakasi nikiunganisha nilichokishudia kwa macho,na sayansi ya kufundishwa. Ktka radi napata kuuona uhusika wa hivi vitu, MUNGU yupo(imani) maana nimeona kitu kwa macho halisi, na kikapotea.
Maswali ni mengi najiulizaga, yule jogoo kea nini hupotea! Baada ya Radi!? Anaeenda wapi!? Na kea nini sayansi inakataa ukweli kwamba Radi ni kuku!?
Ndio hata sielewi kabisa kuhusu hio makitu!Radi INA dhana nyingi INA tegemea na aina ya radi....kama zile za kutumwa je?
Naam,

Pengine wewe utakuwa na jibu hapa, kwanini kuku huonekana kwenye radi na then kudisappear mshana! ? Napata maswali mengi kuliko majibu
Hapa naanza kupata picha, radi kumbe hutofautiana kutokana na eneo inapotokea, hizi nilizoshuhudia mm zilitokea kanda ya ziwa. Kuna vitu deep havijafunuliwa kuhusu RADI tumefichwa kwenye kichaka kwamba radi ni umeme, ila ukichunguza kuna mambo ya kiimani na kimungu hapa zaidi ya sayansi.Nakuunga mkono kwa uliyoyaandika......kila sehemu kuna namna wanavyomfahamu mnyama radi binafsi nilishawahi kuona tukio la mti kupigwa radi lkn nilipofika kuangalia nikakuta kuna makucha ya mnyama yamekwaruza hivyo nami nikaanza kupata wasiwasi huenda radi ni mnyama kweli......vitu kama hivi ukimueleza mtu anaejidai ni msomj hawezi kuelewa
Kanda ya ziwa huamini radi anafanana na jogoo ila maeneo ya kusini radi hufanana na mnyama mwenye miguu sita
Radi zina mengi na huja na maumbo ya wanyama tofautiPengine wewe utakuwa na jibu hapa, kwanini kuku huonekana kwenye radi na then kudisappear mshana! ? Napata maswali mengi kuliko majibu
namba 2 uhakikaOption 1: tuamini tu maneno yako sababu umeona
Option 2: huenda una hallucination na unaona vitu ambavyo havipo...
Nadhani option 2 ni more plausible
tiririka kdg mkuu
Tatizo la stori zenu za dizaini hii ni hilo TU..Nimeshalitaja tatizo...Na hapo ndipo ile dhana ya uwepo wa mkuu wa vyote Mungu) hudhihirika wazi.
Dah kwahyo huyu dogo yupo form 1Duh "LY" yaani Last Year umetisha!!!
Nashangaa mods....au hii ndo intelligence ya taifa letu ilipoishia?Jamii intelligence mnaikosea kwakweli
Mtu kakwambia kashuhudia mwenyewe halafu unambishia ubishi mwengne hauna maanaWw utakuwa msukuma maana hadith kama hizi wasukuma wanazipenda sana HAKUNA KITU kama bwana mkubwa