Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Ungekuwa na hizo fedha huo muda wa kuandika hayo unayodhani ni ya matajiri usinge upata.
News za Kiduku Lilo aka Bill Lugano zinaeleweka kuwa ni fun stories za kuondoa msongo wa mawazo na si hiki unachotaka kutuaminisha hapa.
News za Kiduku Lilo aka Bill Lugano zinaeleweka kuwa ni fun stories za kuondoa msongo wa mawazo na si hiki unachotaka kutuaminisha hapa.
Nasikitika uzi wangu wachangiaji wengi ni wanaume makapuku. Mindset ya mtu ya mtu ina nafasi kubwa sana kuelezea kipato hata kama hatujuani lakini kwa kusoma comment tu naweza kujua unahangaishwa na maisha kiasi gani. Watu wenye pesa hawana mda wa kutengeneza nazaria zisizo na maana hada kuzusha tena kwa kuweka na takwimu eti asilimia kazaa ni waathirika mara wanatoa matako sijui nini. All in all people with no money wana makasiriko sana na siwalaumu najua vichwa vyao vinawaza pesa na wanaamini bila pesa hupati mwanamke wa kukupenda so it is a tragedy kwa kweli.