Ushuhuda wangu kuhusu Single Mothers

Ushuhuda wangu kuhusu Single Mothers

Ungekuwa na hizo fedha huo muda wa kuandika hayo unayodhani ni ya matajiri usinge upata.

News za Kiduku Lilo aka Bill Lugano zinaeleweka kuwa ni fun stories za kuondoa msongo wa mawazo na si hiki unachotaka kutuaminisha hapa.
Nasikitika uzi wangu wachangiaji wengi ni wanaume makapuku. Mindset ya mtu ya mtu ina nafasi kubwa sana kuelezea kipato hata kama hatujuani lakini kwa kusoma comment tu naweza kujua unahangaishwa na maisha kiasi gani. Watu wenye pesa hawana mda wa kutengeneza nazaria zisizo na maana hada kuzusha tena kwa kuweka na takwimu eti asilimia kazaa ni waathirika mara wanatoa matako sijui nini. All in all people with no money wana makasiriko sana na siwalaumu najua vichwa vyao vinawaza pesa na wanaamini bila pesa hupati mwanamke wa kukupenda so it is a tragedy kwa kweli.
 
Single mothers wengi wana Ukimwi achilia mbali STI za kufikia Ni 90%
Jaribu mwende mpime Ukimwi. Kwanza
Maana matako na kumeza njugu utachagua Mwenyewe.
Jaribu kutoa hoja zenye mashiko.. yani uwe na Logic.

Ukisema asilimia wengi wana ukimwi, How, ? ukilinganisha na ambao sio single mother.. Try to make your argument to have a logical sence
 
Masingle maza wengi huachika kwasababu ya 1. uzinzi. 2. Tabia mbaya

98% afya zao huwa sio nzuri though kwà muonekano wa nje huwa hawajionyeshi.

90% huwa wanapenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile

85% ni walevi
Kuna single mother, ambao hawajawahi kuolewa ,
 
ANATAFUTA laana huyo

1.Anaibeep mizimu ya ukoo wa huyo mtoto
2.Anacheza na damu za watu huyo
Ni limbukeni wa maisha,
Asiwadhalilishe kina mama na dada zetu hapa kwa sababu za ulemavu wake wa kufikiria. Kamuambia nani kuwa kila mwanamke anayelea mtoto peke yake ili apate hiyo huduma lazima alipwe? Kwa wengine ni huduma tu na wala hatokuja akwambie shida zake ikiwa mwanaume unajitambua,akikuona wa hovyo ndo itakubidi ulipie na blaablaa nyingi. Huyu mwamba ndo miongoni mwao.
 
Kuna wilaya Moja nilikuta Chain iko hivi:-


Single maza > Bodaboda > Wanafunzi > Wazee (Wababa)

Nilishangaa sana.

Afu katika Wilaya ile.....wajane wako wengi sana 80%. Wababa wa Wilaya ile..daahh wanatembea na mabinti wa shule za msingi na sekondari. Binti mdogo miaka 12-16 anaingizwa lodge mchana kweupe na libaba la 50-70 daah

Hiyo wilaya haina Jamhuri?
 
Huku hakuna aliyelelewa na single maza.?

Hakuna aliyekuwa sababu ya kuongeza kuwepo Kwa single maza?

Huo ukimwi wanambukizana wenyewe Kwa wenyewe?

Ni aibu yetu wanaume kuwafedhesha dada na mama zetu angali sisi ndio chanzo Cha wao single maza

Kwa niaba ya mtoa mada mashangazi wote wa jei efu naomba niombe msamaha Kwa hili lililojitokeza .
 
Tena wanatumiaga vilevi vikali.

Kuna siku kwenye saa 4 asubuhi, wakawa wanapiga supu huku wamelaza mabapa mezani. Nikacheka kwa mshangao, mpaka wakajistukia wakawa wanyonge.
Nikawa najiuliza wanavyokunywa hayo mapombe, hivi kwenye game kweli wanaweza kuwaka upesi kweli!?
 
Huku hakuna aliyelelewa na single maza.?

Hakuna aliyekuwa sababu ya kuongeza kuwepo Kwa single maza?

Huo ukimwi wanambukizana wenyewe Kwa wenyewe?

Ni aibu yetu wanaume kuwafedhesha dada na mama zetu angali sisi ndio chanzo Cha wao single maza

Kwa niaba ya mtoa mada mashangazi wote wa jei efu naomba niombe msamaha Kwa hili lililojitokeza .
Kutembea kwingi kuona mengi. Shukuru kwamba wewe ni single maza usiyekua na hekaheka nyingi....huna baya...huna marafiki wa hovyo...tena wewe ni mwanamke unayejitambua. Mshukuru sana Mungu kwà hilo.
 
TOA hoja zenye Akili Mkuu.
Ukimwi upo Kwa MTU yeyote. Single mother wanachangamoto nyingi lakini hiyo ya Ukimwi hapo tutawatetea Kwa nguvu zote.

Wapo walivyo Kutokana na kuwa disappointed na wanaume wahuni.
Wapo hivyo Kwa sababu ya kulinda MASLAHI ya Watoto wao
Vipi binti Kimoso ni single mama nini?
 
Kutembea kwingi kuona mengi. Shukuru kwamba wewe ni single maza usiyekua na hekaheka nyingi....huna baya...huna marafiki wa hovyo...tena wewe ni mwanamke unayejitambua. Mshukuru sana Mungu kwà hilo.
Mzee kipusa

Umesoma vizuri nilichoandika na kukielewa,au umewahi kujibu kabla ya kuelewa nilichoandika?
 
Kuna jamaa , alifundishwa kupewa matako na single maza,...mpaka sasa afya yake changamoto ila huwezi kumjua. Akija ofisini kwangu nampa Azuma zimsaidie kukata mtiririko wa usaa kwenye mrija wa uume wake. Single maza keshaliharibu dudu lake halitamaniki kabisa.

Kijana handsome, mwanamke yeyote akimuona mtaani anatamani aolewe nae. Anatembelea gari zuri...ana Kazi nzuri...lakini ndo vile tena...Matako yamempa maradhi...
Kwa nini usimshauri aende hospitali kubwa kama Aga Khan atapona asizidi kuchelewa.
 
Kwa nini usimshauri aende hospitali kubwa kama Aga Khan atapona asizidi kuchelewa.
Shauri yake,...ujue kuna vijana wa hovyo sana katika Taifa letu.

Mpaka unakua unajiuliza, huko maofisini wanawezaje kufanya Kazi kwà tabia kama hizo?

Nakumbuka pia, niliwahi kufanyia Kazi kwenye Taasisi flani hivi kubwa sana ( muhimili )

Sasa kwenye KITENGO kulikua na boss....asee jamaa alikua mlevi kupindukia. Bila kulewa hafanyi Kazi.

Alikua anafanya Kazi huku mikono inatetemeka. Ilifika stage akawa hawezi kula chakula vizuri...Pombe ndo ikawa kama chakula chake...,

Siku zake zikafika....., wakati kamaliza kupaki gari yake...ile anataka avuke road aingie upande wa pili ilipo bar..gari lililokua na speed likapita nae.

R.I.P Boss
 
Back
Top Bottom