MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
Msisahau na kupima. Lakini pia, kama mna wake majumbani kwenu..., Hakikishenj hamuwapelekei maradhi ya UKIMWI...huo ni ukatili mkubwa sana.mzee sngle maza we cheza na mtoto tuu wala huitaji hata kutongoza
mzee yamekukuta nini pooleMsisahau na kupima. Lakini pia, kama mna wake majumbani kwenu..., Hakikishenj hamuwapelekei maradhi ya UKIMWI...huo ni ukatili mkubwa sana.
😃😃😃 kwamba unamaanisha?Ukweli unauma
sio njombe hiyoKuna wilaya Moja nilikuta Chain iko hivi:-
Single maza > Bodaboda > Wanafunzi > Wazee (Wababa)
Nilishangaa sana.
Afu katika Wilaya ile.....wajane wako wengi sana 80%. Wababa wa Wilaya ile..daahh wanatembea na mabinti wa shule za msingi na sekondari. Binti mdogo miaka 12-16 anaingizwa lodge mchana kweupe na libaba la 50-70 daah
😃😃😃 kwamba unamaanisha?
Najivunia Mimi ni Blood Group AB+,....hatupatagi ngoma Sisi. So ninao uwezo wa kusex na mtu mwenye Ukimwi na nisiupate UGONJWA huo.mzee yamekukuta nini poole
Ina madini mengi ya dhahabu hiyo wilayasio njombe hiyo
Tukisema wapare ni wachungu, tunamaanisha asilimia kubwa ila sio woteSio kila mzinzi ni singomama, wapo wengi tuu wanazinihadi kuvunja ndoa lakini sio singomama
Sio kila anayetafuta mahitaji ya watoto ni singomama, wapo wanawake wengi wenye waume wasiotoa mahitaji ya chakula, mavazi wala malazi kwa watoto zao
Sio kila singomama ana shida ya pesa, wengine wanajitosheleza sana tuu kiuchumi
Are you singo maza?😃😃😃 sorry i neither A nor B
You got this
😂😂😂😂 daah mkuu walikufanya niniAre you singo maza?
pumbavu mkubwa we 🎽Habari wadau. Moja kwa moja kwenye hoja.
Mwaka jana nikaingia kwenye penzi na single mother mmoja hivi, mapenzi yalikuwa mubashara mwanzo lakini ghafla akawa haeleweki, kufatilia nikagundua ana mahusiano na mtu mwingine nikajaribu kumuhoji akawa mkali nikasema sio kesi. Ghafla yakaanza masharti nikitaka kutoka nae mara yupo bize.
Katika kutafakari nikaona atanisumbua niachane nae lakini siku nimeamua kuachana nae nikamsikia akikopa pesa kwa mtu kwa ajili ya mwanae shule. Basi imani ikaniingia nikampa kile kiasi cha pesa. Nikashangaa mahaba yamerudi kama mwanzo. Nikabaini uzaifu wake ni mwanae. Basi weekend moja nikamchukua mpaka mall flan ya watoto nikamwambia amchagulie mwanae anachotaka. Halooo, week 2 badae jamaa aliyetetelesha penzi langu nikaona anatuma meseji na kupiga simu kila mara anabembeleza penzi. Ebana mie huyu mwanamke sasa hivi sina time nae na deal na mwanae tu, akiamka nishamuiliza mahitaji ya shule, akikaa vibaya nishamwambie nimelipia twisheni atampeleka basi hata mzigo siku hizi siombi napewa tu popote ntapokutwa tofauti na zaman mpaka niombe tupange lini tunatoka.
Hizi ndo tabia zao!..wanadharau sana hawa Wamama. Hawastaili kabisa kuolewa. Wanakaulj mbaya, majibu machafu....wanapenda ugomvi na kudharirisha wanaume zao. Bure kabisa!!!!Mbwa na m
pumbavu mkubwa we [emoji157]
Ngoja mods wamalizie mpira wa simba wajeUzi mchafu huu
Wewe huna watoto mpaka ukasomeshe na kutumikia mtoto wa mwanaume mwenzio?Habari wadau. Moja kwa moja kwenye hoja.
Mwaka jana nikaingia kwenye penzi na single mother mmoja hivi, mapenzi yalikuwa mubashara mwanzo lakini ghafla akawa haeleweki, kufatilia nikagundua ana mahusiano na mtu mwingine nikajaribu kumuhoji akawa mkali nikasema sio kesi. Ghafla yakaanza masharti nikitaka kutoka nae mara yupo bize.
Katika kutafakari nikaona atanisumbua niachane nae lakini siku nimeamua kuachana nae nikamsikia akikopa pesa kwa mtu kwa ajili ya mwanae shule. Basi imani ikaniingia nikampa kile kiasi cha pesa. Nikashangaa mahaba yamerudi kama mwanzo. Nikabaini uzaifu wake ni mwanae. Basi weekend moja nikamchukua mpaka mall flan ya watoto nikamwambia amchagulie mwanae anachotaka. Halooo, week 2 badae jamaa aliyetetelesha penzi langu nikaona anatuma meseji na kupiga simu kila mara anabembeleza penzi. Ebana mie huyu mwanamke sasa hivi sina time nae na deal na mwanae tu, akiamka nishamuiliza mahitaji ya shule, akikaa vibaya nishamwambie nimelipia twisheni atampeleka basi hata mzigo siku hizi siombi napewa tu popote ntapokutwa tofauti na zaman mpaka niombe tupange lini tunatoka.
SingoMazas at workNgoja mods wamalizie mpira wa simba waje
Mkuu bhana acha chuki za rejareja bhana enjoy EidSingoMazas at work
Kenge weHizi ndo tabia zao!..wanadharau sana hawa Wamama. Hawastaili kabisa kuolewa. Wanakaulj mbaya, majibu machafu....wanapenda ugomvi na kudharirisha wanaume zao. Bure kabisa!!!!