MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
Fanya research utanishukuru.TOA hoja zenye Akili Mkuu.
Ukimwi upo Kwa MTU yeyote. Single mother wanachangamoto nyingi lakini hiyo ya Ukimwi hapo tutawatetea Kwa nguvu zote.
Wapo walivyo Kutokana na kuwa disappointed na wanaume wahuni.
Wapo hivyo Kwa sababu ya kulinda MASLAHI ya Watoto wao
Siri iko hapa:-
Mwanamke yeyote akiwekwa kwenye mikono ya Mwanaume...then akajifanya mbabe wa kutosubmit kwà huyo mwaume..akawa mbishi, mjeuri, kiburi, dharau,...Then Mwanaume huyo akachoka kumbeba na akaamua kumuacha...asee ..mara nyingi mwanamke huyo hawezi tena kuwa salama. Atakua mtu wa kugongwa na kuachwa. Hata kua mtamu tena.
Note: Mwanamke anakuaga mtamu akiwa anagongwa wakati bado yupo kwà mumewe. Lakini akiachwa..huwa hawi tena mtamu. Hivyo ndo maana wanawake walioachwa wanaongoza kwà kugawa Matako kuongeza maudambwiudambwi.
Ukiwa nae kitandani..ukijisahau kidogo tu unawezashangaa kaihamishia mtaroni...hatari sana!