suma Nongwa
Member
- Sep 12, 2017
- 97
- 47
Ila kama ni yeye kwenye ile picha mbona anapigika tu pamoja na ushuhuda wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umetisha sana mkuuSiri yangu mkuu
Duhhh asavali....Hapana [emoji3526]
Namjua Vizur SanaWw unamfahamu professor?!
Innocent souls still zimetaka kufanya uzinzi? [emoji57]Kibaya zaidi amesema ametafunana na innocent souls za humu ndani
Prissy kaponea kwako babe?
Hahah mzee baba unataka kuingilia kazi za Tanesco kushika nyaya za umeme!!!
Kampe pole tumemfahamu kwa story keshakua famousNamjua Vizur Sana
Workmate wangu
Kwa namna hii dada angu inaonekana unakigawa sanaaa,na bado uaendelea kukigawa,dhambi hyo itakutafuna na ugonjwa wako huo...wachache tuu ndo nin,inamana unajijua na bado unakubalia watu,polen ndugu zangu ,ndomana mim yaan kondom chache navaa mbili mamaeeWachache tu jamani, hata hivyo na watakuwa Negative huko walipo
Mjomba,ukiona mtu kaambukizwa kwa sex ujue mechi ilikua kali sana na jamaa si kibamia,unajua mechi zile had anakwambia kinawaka moto ndo hvoHawakutoa michubuko?
[emoji848].....nahisi utakuwa sahihiMjomba,ukiona mtu kaambukizwa kwa sex ujue mechi ilikua kali sana na jamaa si kibamia,unajua mechi zile had anakwambia kinawaka moto ndo hvo
Safi sana.Afya ndo kila kitu.Nina box kabisa. Kila napoenda hua siziachi just incase
Kauli yako ya mwisho , inaonesha unapenda sana mchezo, maana humu jamvini umetoka na wengi eeh!haah wewe mkaka, embu wacha mambo yako.
Mambo mengine sio lazima upaniki, wewe una uhakika gani kati ya nyuzi zake hizi mbili ipi ya ukweli? Sijui anafanyakazi nnje anakula maisha na professor na hii ya leo, hapa suala la msingi tufuate ushauri maana ni mzuri tu kama mtu unahisi ushaharibu au huna uhakika na afya yako unakausha tu.