Priscallia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2019
- 496
- 2,449
- Thread starter
- #121
asante mpenzi.Aisee kuna watu wanabet uhai, pole sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante mpenzi.Aisee kuna watu wanabet uhai, pole sana.
Exactly, ndio atakuwa baba watoto wanguni kweli hali hiyo inatokea, ila malengo ya kuwa na familia si yapo mkuu?
AminaPole na Hongera kwa ujasiri huo.
Mungu akijalie maisha marefu na wengi wajifunze kupitia wewe..
I'm sorry siwezi fanya hivyo.Naomba kujua ulisoma chuo gani?? au kipo mkoa gani, Ushuuda wako uwafikie wale wa kula tunda kimasihara
Asante, muwe makini tu huko uraiani kumechafuka sana na hali ya uchumi ilivyo mbaya maambukizi yataongezeka sana. Mjitahidi kama hamuwezi kuwa na mpenzi mmoja basi jitahidini mtumie mipira jamaniMabaaria wa kula tunda kimasihara hii inawahusu siwaoni uku kabisa..mnaitajika viti vya mbele uku vipo wazi. yani Kiukweli mimi last time kupima ilikuwa 19/november 18 ila dah kuna rafu mbili nilizicheza af sielewi kbsa yani siku ya kupma tn itakuwaje. Ila Hongera dada Kwa ujasiri ulonao
Kapime upesi hahaha..Mmmmh. Na Mimi hapa nna homa na mafua ya kufa mtu saivi..
ID ya zamani kule wanaume ni wengi wasumbufu, hili pia nitoe angalizo kwa wana Jf hasa mabinti wawe makini kuna baadhi ya watu humu hawana mema nao unakuta wanawashawishi kwa vitu vidogo na kuishia kulala nao. Mimi wengi wanakuja na mambo ya kunihonga ila tukionana wanakuwa hawana la ziada hivyo ikitokea nimelala nao basi ujue walinivutia kwa vitu fulani na sio mambo ya hela na blah blah nyingineMtoa mada Inaonekana huko PM wala hauna usumbufu kama wengine
AmenMungu akutie Nguvu Dada Asante Kwa Ushauri Nakuombea Umri mrefu huu ni Upendo wa ajabu ungweza kukaa kimya lakini umesema hakika Mungu Akutunze
Wengi hata hii pia, sema kuna ambao nawajibu na kuna ambao nawapotezeaKwenye I'd yako ya zamani
Vijana bado wana bisha hodi tu?
Mkuu kwa nini msiendelee tu kuenjoy na maisha yenu bila kuzaa!Ndio ananihudumia, Mungu akijaalia ndio nitazaa nae.
Nitakufikiria na asante kwa maneno ya faraja piaDuh!! Pole saa mpendwa, sina cha kukwambia sababu natumai ushaambiwa saana, wala sina cha kukushauri sababu ushapata ushauri wa kutosha, pia sina sababu ya kukupa maneno ya kukutia moyo sababu kwa maelezo yako na kitendo cha kuandika huu uzi hapa tayari hii hali ushaipokea na wew unajionea kitu cha kawaida, kikubwa tu nakushukuru kwa kushare nasi hapa hii habari, yaweza kuwa matumaini kwa wale wasiokuwa na matumaini waliokata tamaa kwenye janga kama hili ama kwenye misanga tofauti tofauti, ni funzo pia kwetu soote.
Natamani ungekuwa mshikaji wangu kwenye maisha ya kawaida nje na jf.
Nakushukuru na ubarikiwe
Kila la kheri bibie.
Haah piga moyo konde kaangalia afya yako huwenda ni mabadiliko ya hali ya hewaMmmmh. Na Mimi hapa nna homa na mafua ya kufa mtu saivi..
hahahaaa; aiseee.Wengi hata hii pia, sema kuna ambao nawajibu na kuna ambao nawapotezea