Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Salaam tele ziwafikie
Kati ya mwaka 2019 au 2020, msanii Stamina ft Roma alitoa wimbo wenye ujumbe wa kusalitiwa na mkewe wa ndoa. Huyo mke akitoka na Ex wake ambae alicheza club ya Simba SC, na baadae nadhani akahamia Namungo FC.
Nikiwa nimekaa kwa starehe na raha kabisa na kipenzi changu magetoni tunaangalia tv channel ya trace tv likapigwa goma la Mwamba Stamina ft.Roma nilijawa na Pepo baya sana la kujiona mimi kidume nilicheka sana sana, nikajisahaulisha wakati na mimi nachapiwa na ma ex wake na shoo shoo mpya. Pepo mduwazo alijaa pomoni
Sikumbuki shetani aliniingia kwa ufala gani, siku nilipokuja kupatwa na tukio fulani nilijiona fala sana. labda nitumie nilijiona zuzu la ukweli.
Baadae nikageuka mwinjilisti kwa kujifariji kibiblia oooh ni kawaida mbona hata samsoni na mabaharia wengi na mitume wa kwenye maandiko yaliwatokea.
"Ufala unaambukiza kama ilivyo na ujanja nao unaambukiza" tuwe makini
Kuna wanawake wachawi usipime yaani unachapiwa unahisi na unaishi nae maghetoni huwazi.
Nilizinduka nikamtema kwa mahasira kinoma maana siku akichangamka nimtamu haswaa.
Karma is a bitch and it's real huyo nilimpa sharti ili unirudie ni sharti nianze kula kidoti na siku hio nile kidoti mwanzo mwisho ndio nikurudie.
Kama kawaida siku ya ufala nilijicheka saana aaah saana tu. sitasahau
Kuchapiwa ni kuchapiwa kama ilivyo kila siku amini unachapiwa, kula mzigo ili hata ukimwacha usijutie piga shoo mwagia zote jifaidishe hata anapotoka jisonye nena sema hata asiporudi au akizingua haijalishi nikiwa nae nashiba njaa yangu ya shoo inakata.
Ukweli usemwe na muungwana huchutama.
Wadiz