USHUHUDA: Watanzania tuwe wakweli juu ya ufugaji wa kuku

Ila usi waogope mkuu watam Sana!
Hizi shughur za ufugaji huwa naona Ni kupoteza muda.

Nnachokiona kwa watu Wang wa karibu wanaofanya hizo shughur

Nawaona km wanasindikiza tu maisha yaende,

Hawapigi hatua yoyote, zaid ya manung'uniko ya kila siku HALI NGUMU
 
Sawa lakini wakikua Huwa unauza sh Ngapi??
 
Hizi shughur za ufugaji huwa naona Ni kupoteza muda.

Nnachokiona kwa watu Wang wa karibu wanaofanya hizo shughur

Nawaona km wanasindikiza tu maisha yaende,

Hawapigi hatua yoyote, zaid ya manung'uniko ya kila siku HALI NGUMU
Ila mkuu tatizo linakuwaga Malengo!
Pia kufunga lina kwenda sambamba na upendo wa dhati kwa unacho kifuga!
Kama hupendi kwa moyo mmoja unachokifunga huwa hakilete manufaa pia isiwe ndio tegemeyo lako kwa muda mfupi!
Watu wengi hupenda matokeo bila kujitolea kwa unacho kifuga lazima ukipende kweli kweli vinginevyo matokeo huwa Mabaya!
Pia mwisho matumizi kuzidi kipato huvuki yani kama ni mbinguni huendi!
 
Mkuu unazungumzia ufugaji wa hobby au wa kibiashara?
 
Mkuu unazungumzia ufugaji wa hobby au wa kibiashara?
Kupitia kile kitu unachokipenda unaweza kufanya biashara pia. Hivyo uwe ufugaji wa hobby au biashara kanuni ni zile zile. Pia kwa upande wa biashara kuna viwango vya biashara - Ndogo - ya kati na kubwa. Viwango hivyo vyote vinategemea ukubwa wa mitaji tofauti.
 
Mvua inaua vip bata? Maana bata wanapenda maji, ama?
 
Wewe unaishi kijijini,kuku wanalala jikoni¦¦¦¦¦ alafu kuku 50 siwanaaribu mazingira kama wanazurura watatifua mauwa ya jirani, bustan za mboga zilizopo kwa majirani na utakuwa ni mtu wa kugombana na maji ran daily... Kuku wa kienyeji awana faida kama tunavyoaminishwa kuku hadi afikishe miez mitano au Sita ndio anataga Tena mayai ayazidi 15.
 
Niliacha kufuga kuku nimehamia kwenye mbuzi, mikuku gharama kibao faida kiduchu...
Aisee ufugaji kuku mi biashara kichaa labda wenye mitaji mikubwa sio wa kuunga unga chakula na madawa, mi nataka nihamie kwenye ng'ombe wa maziwa nyama na mbuzi.
 
Em 1 unachanganya kwenye chakula?
 
Acha uongo wewe
 
Siku utakayoacha uwoga ndio siku utayoona faida kwenye mradi unaoufanya,hakuna biashara isiyo na changamoto,jifunze kwa kina uyapate maarifa ya kutosha juu ya mradi unaotaka kuufanya,usifanye haraka kwa kua fulani anafanya amepata faida au ulisoma mtandaoni kuwa biashara fulani inalipa ukashawishika...cool down
Kubali kuzipokea changamoto within the process,maisha ya biashara sio horizontal,ila pia wakati unafikiri kusitisha mradi fikiria kwann ulianza?
Mwisho tambua "huwezi kwenda peponi bila kufa"
Sheikh 23
 
Siku hizi kila mtu anataka awe mfugaji aachane na ajira baada yakupewa nadharia yakufanya awe tajiri kwa kufuga kama ni kitu rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…