EAPGS
JF-Expert Member
- Jun 17, 2021
- 282
- 334
Unaonaje pia kaka/dada ukaweka ushahidi na uthibitisho hapa?Mnatumia ujinga wa wabongo kuwapiga.Tahadhari mnaoagiza magari kuweni makini na madalali wanaodai watawaagizia magari kwa kulipa/Mikopo kwa awamu. Mtapigwa mapema asubuhi.
Pengine itakua busara zaidi ili kwenda sambamba na tahadhari yako.
Pia, sioni tija ya kukebehi watu kwa kuita wajinga, kwasababu tuu mmepishana kimawazo.
Hekima ni utajiri mkubwa sana.