kuna jamaa yangu flani hivi alisha agizaga vitz be forward, ikaja akaanza kuitumia, baada ya miezi kama 10 hivi ile gari ikapata ajali shoo yote ya mbele na kwenye mlango wa dereva iliharibika sana , ikabidi aingie mtandaoni aka check tena na wale be forward kwamba anahitaji spare halfcut ya ile vitz yake , walichomjibu be forward kwamna kama jamaa ana nguvu ni vyema aagize gari nyingine sababu uku kwetu tanzania ushuru sio rafiki sana, sasa ebu assume mpaka mzungu mwenyewe anajua kama kwetu ushuru wa kuagiza gari sio rafiki huoni kama hatari?