Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada!

Hili suala la kodi za kiwendawazimu za magari kutoka nje tumelikemea sana.
Ila hawa watu(CCM) ni washenzi na hawana akili.
Nchi yenye maelfu ya rasilimali bado inaendelea kuminya wananchi.
They're totally crazy
 
Duh, ushuru upande hivyo, 2 times, ngoja nicheki na TRA. That is very expensive
 
Pole.

Sasa hivi nchi imerudi kwa wenyewe na wanamiliki kampuni maarufu ya "bahari iliyo kimya". Ungewatumia wana gharama nafuu kabisa.

RIP JPM
Silent Ocean hawahusiki na kuagiza au kutoa magari
 

Kulikuwa na hadithi za chawa fulani nchi za Afrika mashariki kuungana. Mwananchi wa nchi gani atakubaliana na upuusi kama huu?
 
Katika kuagiza magari wengi wanachemkaga sana kwenye ile kalkuleta, usipoangalia kwa makini customs value ya ile gari ni kiasi gani ukilinganisha na bei ya muuzaji, bei ya muuzaji ikiwa juu kuliko ile ya kwenye kalkuleta umeumia.
 

Katika kuagiza magari wengi wanachemkaga sana kwenye ile kalkuleta usipoangalia kwa makini customs value ya ile gari ni kiasi gani ukilinganisha na bei ya muuzaji,bei ya muuzaji ikiwa juu kuliko ile ya kwenye kalkuleta umeumia
kwa wanaofahamu wamjuye zaidi
 
Sikuhizi sisikilizi hotuba za mama maana kila hotuba utasikia " Kuna kijitozo kidogo tumekiongeza"

Hivyo vijitozo vyake vidogo ukiviunganisha Kama mshahara wako ni elf 50 utakuta elfu 45 unamalizia kwenye "vijitozo" alaf wewe unakula buku dasi, nikipata elf 20 najihisi Kama mfukoni sina kitu maana nikinunua tu mafuta Lita 1 na sukari kilo 1 pesa yote imekaa
 
Anaupiga mwingi
 
Eti ushuru wa kuagiza gari unakuwa asilimia 100% ya thamani ya manunuzi ya gari hadi kufika bandari ya DSM [emoji848][emoji848]

Tena saingine kuzidi!

Kuna tatizo kubwa mahala kwenye database na sheria za TRA Customs katika ushuru wa kuingiza magari.
 
Kumiliki gari siyo anasa.

Gari ni kitendea kazi.

Kwanini mna -discourage wananchi kuingiza magari Kwa kuwakomoa kwenye ushuru mkubwa wa magari?
 





Kwa ground mambo hubadilika
 
Serikali haitumii akili.

Ingetaka kodi na kuondoa magari chakavu iweke 25% pekee kwa magari mpya
Magari Chakavu yanayoruhusiwa ingia yasizidi miaka 5, tofauti na hapo hilo gari liharibiwe
 
Serikali haitumii akili.

Ingetaka kodi na kuondoa magari chakavu iweke 25% pekee kwa magari mpya
Magari Chakavu yanayoruhusiwa ingia yasizidi miaka 5, tofauti na hapo hilo gari liharibiwe
Serikali itumie akili? Ina KICWA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…