Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada!

piogaaaaaaaaaa kima nyie mtajuta kuzaliwa bongo, wenzenu wanalalamikia kikokotoo huku wanakopa magari ya mamilioni kwa milioni mbili mbili tu ,nyie wengine mnajilipua kuagiza kwa mikodi ya ajabuajabu, mnakumbuka Sabaya alinunua lile shangingi kwa shilingi ngapi? ndiomaana hawaishi kusema anaupiga Mwingi ila kila jambo lina mwisho wake
 
TRA ni washirikina na wanapata laana sana....yaani mbaya sana wao na uzao wao...Sema amina....
 
Samia hana mbinu yeyote ya kukusanya kodi,

Hivyo amechagua mbinu nyepesi kama hizo.

Mwanamke lake jiko
 
Serikali haitumii akili.

Ingetaka kodi na kuondoa magari chakavu iweke 25% pekee kwa magari mpya
Magari Chakavu yanayoruhusiwa ingia yasizidi miaka 5, tofauti na hapo hilo gari liharibiwe
Mambo ni kinyumenyume
Gari mpya Ina Kodi kubwa kuliko chakavu
Sijui wanaofanya haya maamuzi hua wanatumia nini kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…