Usiache kununua ardhi. Niliyojifunza Goba sikufanya makosa Madale

Naam,uwekezaji wowote unalipa...hata hisa 1 ya nmb mwaka 2008 ilikuwa inauzwa sh 300. Leo hisa 1 ni elfu 13 na ushee..ni mwaka 2024 hisa moja ya crdb ilikuwa inauzwa hisa moja 1 sh 600. Leo hisa 1 ni elfu 3..

Wekezeni leo kwenye hisa,mtakuja kunishukuru msikariri kuwekeza kwenye ardhi pekee,ardhi inategemea na eneo ,na kuna vitu vinavyo chochea kupanda kwa thamani ya ardhi.siyo kila maeneo yanapanda thamani baada ya muda..mengine hubaki vile vile..
 
Kwenye kununua maeneo nilicho jifunza unatakiwa kuwa roho ya maamuzi magumu
Tatizo siyo kila maeneo yana panda thamani mkuu ,hicho watu hawataki kuambiwa..kumbuka tanzania kuna mapori mengi mnoo na kwa mtazamo huo kwamba kila eneo linapanda thamani,mababu zetu kule vijijini wasinge kufa masikiini.

Hivo kuna factors muhimu za kuzingatia unapo nunua hayo maeneo,siyo unakupuka tu unaenda kununua eneo mpwapwa vijijin kisa eti yanapanda bei..utakuja ulie
 
Umlilie nani? Aliekuambia maeneo hayapandi thamani nani? Au unataka uweke hela leo mwakan iongezeke bei 2 timez?. Kuna eneo nilitupa kias kidogo cha pesa mwaka 2023 mwishoni kama milion moja na laki 2 hiv mwasonga. Leo hii kuna milion 3 mezanui na siuzi
 
2003 Nilipelekwa kibaha kuoneshwa ardhi pale picha ya ndege. Nikafikq eneo husika ni robo kilometer kufika lami
Ile ardhi ilikuwa ekari moja na nusu kasoro.. Yule mzee alitaka 1M tena kwa instalments
Kwenye draw ya gari nilikuwa na na kama 1.2 haina kazi. Yule mzee akanisihi sana nisipaache pale mahali na kama nina laki 2 nimpe kwanza
Kuna kasauti kakaniambia moyoni achana naye huyo anakupanga kwani utakuja kuishi lini huku kwa ujinga wa ujana nikakasikiliza kale kasauti
Nikamwambia mzee Leo sina hela ila nakupa hii 20,000 ya usumbufu.. Akaipokea kisha akasema asante lakini ukiweza ongeza 80,000 itimie laki nikuwekee hii ardhi utanukumbuka. Nikagoma
Tukaondoka na mtu niliyekuja naye kufika Kibaha container bar tukapiga ugali samaki wa nguvu
Tukaondoka mpaka Mbezi kufika pale tukaanza kupiga maji.. Tukaondoka kwenye saa 9 mchana
Kufika saa 11 jioni tuko Mama land bar External .. Bata likaendelea
Saa tatu usiku tukanyanyua kuelekea Moshi Bar Goms! Hiyo haikuwa na come back
Siku iliyofuata kuangalia balance nina kama laki7 na ushee
Mwaka 2016 nikapata kazi Kibaha na kuamua sasa kujiwekeza baada ya ujinga kunitoka, nikasema niende kwa yule mzee
Kufika pale nikakuta palishauzwa na kukatwa viwanja vya 20 kwa 20
Kilikuwa kimebaki kimoja tu bondeni na bei ilikuwa million 3 haipungui hata mia😂
West Kilimanjaro plot kwa 6.8M miaka mitatu iliyopita.Kaja jamaa na idea za kitalii kapanunua kwa 42M..
Plot moja kali sana kule unaiona KLM huku Meru😀😀😀😀
Roho imeuma mno why why sikununu eneo lote..lile..Mimi
 
Ardhi inapanda thamani kila siku.
Kiwanja nilichonunua million 10 kwa masikitiko leo kuna mtu anakitaka ana million 150

Kingine lilikuwa shamba mkoani nilinunua barabarani million 5. Mwaka jana napigiwa sehemu kuna mtu anakitaka ajenge parking na petrol station ana million 80.
 
Tatizo siyo kila maeneo yana panda thamani mkuu ,hicho watu hawataki kuambiwa..kumbuka tanzania kuna mapori mengi mnoo na kwa mtazamo huo kwamba kila eneo linapanda thamani,mababu zetu kule vijijini wasinge kufa masikiini.

Hivo kuna factors muhimu za kuzingatia unapo nunua hayo maeneo,siyo unakupuka tu unaenda kununua eneo mpwapwa vijijin kisa eti yanapanda bei..utakuja ulie
Ni sawa mtu ununue ma ekari ya maeneo Iragua na Mtimbila ndanindani huko Morogoro. Au huko Katavi ndani ndani Ukitegemea ardhi inapanda bei.

Thamani ya ardhi inakua kulingana na ongezeko la watu.

Kama hakuna ongezeko na mwingiliano wa watu. Kuwekeza kwenye ardhi ni kupoteza muda.
 
Ardhi inapanda thamani kila siku.
Kiwanja nilichonunua million 10 kwa masikitiko leo kuna mtu anakitaka ana million 150

Kingine lilikuwa shamba mkoani nilinunua barabarani million 5. Mwaka jana napigiwa sehemu kuna mtu anakitaka ajenge parking na petrol station ana

Ni sawa mtu ununue ma ekari ya maeneo Iragua na Mtimbila ndanindani huko Morogoro. Au huko Katavi ndani ndani Ukitegemea ardhi inapanda bei.

Thamani ya ardhi inakua kulingana na ongezeko la watu.

Kama hakuna ongezeko na mwingiliano wa watu. Kuwekeza kwenye ardhi ni kupoteza muda.
Hakika, hakikisha unaweza kadiria sehemu hii baada ya muda fulani patakuwa hivi au vile
 
Ni sawa mtu ununue ma ekari ya maeneo Iragua na Mtimbila ndanindani huko Morogoro. Au huko Katavi ndani ndani Ukitegemea ardhi inapanda bei.

Thamani ya ardhi inakua kulingana na ongezeko la watu.

Kama hakuna ongezeko na mwingiliano wa watu. Kuwekeza kwenye ardhi ni kupoteza muda.
Kabisa mkuu,sasa watu hawataki kuambiwa huo ukweli..ukiwaambia wanakasirika
 
Ni sawa mtu ununue ma ekari ya maeneo Iragua na Mtimbila ndanindani huko Morogoro. Au huko Katavi ndani ndani Ukitegemea ardhi inapanda bei.

Thamani ya ardhi inakua kulingana na ongezeko la watu.

Kama hakuna ongezeko na mwingiliano wa watu. Kuwekeza kwenye ardhi ni kupoteza muda.
Ongezeko la watu linaqeza kuwq ni last variable mzee. Mana ongezeko la watu ni mchakato wa urbanization. Factor za thaman ya ardhi kukua ni huduma za kijamii kwanza hasa usafiri na miundombinu
 
Back
Top Bottom