Usiache kununua ardhi. Niliyojifunza Goba sikufanya makosa Madale

Namtumbo shamba elfu 50 heka nyingi sana hiyo. Mahari ya mtu huko mpaka elfu 20
Ndo maana nlikuambia siyo kila ardhi inapanda thamani..kuna vigezo vya muhimu vya kuzingatia...imagine mimi nilinunua ardhi mwaka 2018 kwa mil na laki mbili,ni wilayani nje kidogo ya mjini pamechangamka mnoo..lakini mwaka huu napauza hata mteja wa ile bei niliyo nunulia hafiki wanataka kwa laki 7.
 
Pole sana Mkuu, umefahamu kuhusu ardhi kwa kuchelewa sana. Nikupe hongera kwa kujifunza kwako. Binafsi nilijufunza kuhusu ardhi mapema sana, nikiwa yanki tuu. Nakupa kisa..

Baada ya kumaliza form six 2008, nasubiri kwenda chuo, nilipiga dili moja ya mbao na wachina. Muda wa kwenda chuo ukafika, nikiwa na hela mkononi. Zile hela Baba yangu akanambia nunua viwanja, maana unakwenda chuo hizo hela utakula zitaisha tuu. sikutaka maana niliona nitazika hela tuu, lakini pia sikutaka mkwaza mshua, lengo langu lilikuwa ni kuvuta ka corona old model nikavimbe nako chuo. Huku nikila 100% ya Bumu la serikali. 😁

Nikanunua viwanja kumi, vinafuatana kwa laki sita kila kimoja, pamoja na hati laki nane, nililipa 8M halmashauri X. Nikapewa zile hati, nikamwachia mshua anitunzie hati. 2010 ukatokea mradi wa maji, Muhindi (Mkandarasi) akawa anatafuta eneo la kuweka yard (Karakana) ya muda, maana alipewa kazi ya kutandika mfumo wa maji mjini mzima. Mradi ulikuwa unafadhiliwa na Benki ya Dunia, JK raisi enzi hizo.
Akapapenda pale kwangu maana palikuwa ni karibu na wanakotegea maji, akanilipa 19M kuweka yard tuu. Akajenga na maofisi ya mabati na mbao pale pale kwangu, na vyoo vya muda yaani kiufupi akapaendeleza japo hakuweka miundombinu ya kudumu. Alikuwa anajenga ofisi za mbao na karakana za mabati.

Viwanja ulikuwa ni mradi wa serikali, serikali imekata viwanja inaviuza kutanua mji. Yaani serikali ilikuwa inabembeleza watu kununua viwanja vile, maana palikuwa pori, kula mtu anasema aah nikakae na nyani kule porini. 😁

Mradi ulipoisha Muhindi, aliniachia manyumba yale ya mbao, mabati kibao na mavyuma chakavu kama yote. Niliuza mavyuma yale, makorokoro kibao. Screpa kibao nilipima aisee, mafundi mchundo wa majiko, kuchomelea walikuwa wanashinda pale kusafisha yard. Nikapata mtaji wa kuvimbia mjini mpaka leo.
Mpaka leo panafahamika kama Majengo kwa Wahindi. Sasa hivi hakuna viwanja kuna manyumba ni mji mpya. Ila mimi bado napangisha yard. 😁

Ukitaka kiwanja mitaa ile, kwa wale ambao hawajajenga basi mnaanzia 8M kwenda juu, hapo ana shida zake muuzaji. 😋

Ardhi ni mali. Ardhi haiongezeki, watu ndio wanaongezeka. Sasa hivi hata ukinambia kuna eneo mlimani unauza, nakuja kununua.
 
2003 Nilipelekwa kibaha kuoneshwa ardhi pale picha ya ndege. Nikafikq eneo husika ni robo kilometer kufika lami
Ile ardhi ilikuwa ekari moja na nusu kasoro.. Yule mzee alitaka 1M tena kwa instalments
Kwenye draw ya gari nilikuwa na na kama 1.2 haina kazi. Yule mzee akanisihi sana nisipaache pale mahali na kama nina laki 2 nimpe kwanza
Kuna kasauti kakaniambia moyoni achana naye huyo anakupanga kwani utakuja kuishi lini huku kwa ujinga wa ujana nikakasikiliza kale kasauti
Nikamwambia mzee Leo sina hela ila nakupa hii 20,000 ya usumbufu.. Akaipokea kisha akasema asante lakini ukiweza ongeza 80,000 itimie laki nikuwekee hii ardhi utanukumbuka. Nikagoma
Tukaondoka na mtu niliyekuja naye kufika Kibaha container bar tukapiga ugali samaki wa nguvu
Tukaondoka mpaka Mbezi kufika pale tukaanza kupiga maji.. Tukaondoka kwenye saa 9 mchana
Kufika saa 11 jioni tuko Mama land bar External .. Bata likaendelea
Saa tatu usiku tukanyanyua kuelekea Moshi Bar Goms! Hiyo haikuwa na come back
Siku iliyofuata kuangalia balance nina kama laki7 na ushee
Mwaka 2016 nikapata kazi Kibaha na kuamua sasa kujiwekeza baada ya ujinga kunitoka, nikasema niende kwa yule mzee
Kufika pale nikakuta palishauzwa na kukatwa viwanja vya 20 kwa 20
Kilikuwa kimebaki kimoja tu bondeni na bei ilikuwa million 3 haipungui hata mia😂
Naomba nikutukane mkuu Mshana Jr nipatie tusi pole la kipare kama umpavyo mtu mji akishindwa kitendawili!
😅😅
 
This Binance Mining Strategy Made Me $1,500,000 in One Year
Weiterleitungshinweis
Binance mining profitable coins
Weiterleitungshinweis
How to Generate $300 Daily Passive Income with Binance Mining
Weiterleitungshinweis
Binance mining registration
My Binance Mining Payout Hit $95,000 This Month – Here’s the Proof (Screenshots + Strategy)
The $14,000 Question: Is Binance Mining Still Worth It in 2026?
Weiterleitungshinweis
Best mining hardware for Binance
Earn $539,000 per month on Binance Mining
Binance mining software download
Weiterleitungshinweis
My Binance Mining Profits Hit $2,100 Last Week – Here's the Receipt
Weiterleitungshinweis
Binance Pool referral
Earn $539,000 per month on Binance Mining
ROI mining Binance
Weiterleitungshinweis
Binance compatible ASIC miners
Weiterleitungshinweis
How to Generate $300 Daily Passive Income with Binance Mining
https://www.images.google.com/url?sa=t&url=https://earn-binance-mining.blogspot.com
Binance mining withdrawal
MaxDPS Assistant
Binance mining pool PPLNS
Weiterleitungshinweis
GPU mining Binance
My Binance Mining Payout Hit $95,000 This Month – Here’s the Proof (Screenshots + Strategy)
Mine Ethereum on Binance
Earning $12,847 Per Week from Binance Cloud Mining – My Exact Setup Revealed (2026 Guide)
The $50K Experiment: Why I'm All-In on Binance Mining in 2026
Weiterleitungshinweis
Binance mining payout schedule
Earn $539,000 per month on Binance Mining
Binance mining for beginners
My Binance Mining Payout Hit $95,000 This Month – Here’s the Proof (Screenshots + Strategy)
Binance mining minimum payout
Weiterleitungshinweis
The $7,300 Profit: Why I'm Dumping Other Pools for Binance
https://app.prospect.io/messages/f0...?url=https://earn-binance-mining.blogspot.com
Binance mining rig setup
Earning $12,847 Per Week from Binance Cloud Mining – My Exact Setup Revealed (2026 Guide)
Binance mining dashboard
Earning $12,847 Per Week from Binance Cloud Mining – My Exact Setup Revealed (2026 Guide)
Binance Pool Paid Me $3,100 This Month – And I Only Check It Once a Week
http://images.google.md/url?sa=t&ur.../my-binance-mining-payout-hit-95000-this.html
Mining configuration
 
Mwisho wa siku yote ni kujilisha upepo, tafuteni uzima wa milele.
Kichaka cha kukatia tamaa hiki, unakuta huna ramani au hutaki kuumiza kichwa unaamua kukabidhi lawama kwa shetani na kujificha kanisani muda wote kuimba, kuhubiria watu habari za baada ya kufa kwao huku ukikwepa lawama za jamii na ushauri wa jamii kujiongezea kipato ili ubadili dunia yako pale ulipo.

MKuu vitabu vya dini pia vinachukia umasikini, vinachukia uzembe, vinachukia kutokuchua hatua, vinachukua mtu asietumia akili (maarifa) na hapo vikamalizia kwa kusema watu wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Hata bitcoin by that time ilikuwa bei ndogo sana.
Maisha menyewe mafupi haya tumia kilicho chako kabla ya muda wako kuisha.
 
Ndo maana nlikuambia siyo kila ardhi inapanda thamani..kuna vigezo vya muhimu vya kuzingatia...imagine mimi nilinunua ardhi mwaka 2018 kwa mil na laki mbili,ni wilayani nje kidogo ya mjini pamechangamka mnoo..lakini mwaka huu napauza hata mteja wa ile bei niliyo nunulia hafiki wanataka kwa laki 7.
Kuna uchawi kwelikwwli kule. Pauze tu
 
Pole sana Mkuu, umefahamu kuhusu ardhi kwa kuchelewa sana. Nikupe hongera kwa kujifunza kwako. Binafsi nilijufunza kuhusu ardhi mapema sana, nikiwa yanki tuu. Nakupa kisa..

Baada ya kumaliza form six 2008, nasubiri kwenda chuo, nilipiga dili moja ya mbao na wachina. Muda wa kwenda chuo ukafika, nikiwa na hela mkononi. Zile hela Baba yangu akanambia nunua viwanja, maana unakwenda chuo hizo hela utakula zitaisha tuu. sikutaka maana niliona nitazika hela tuu, lakini pia sikutaka mkwaza mshua, lengo langu lilikuwa ni kuvuta ka corona old model nikavimbe nako chuo. Huku nikila 100% ya Bumu la serikali. 😁

Nikanunua viwanja kumi, vinafuatana kwa laki sita kila kimoja, pamoja na hati laki nane, nililipa 8M halmashauri X. Nikapewa zile hati, nikamwachia mshua anitunzie hati. 2010 ukatokea mradi wa maji, Muhindi (Mkandarasi) akawa anatafuta eneo la kuweka yard (Karakana) ya muda, maana alipewa kazi ya kutandika mfumo wa maji mjini mzima. Mradi ulikuwa unafadhiliwa na Benki ya Dunia, JK raisi enzi hizo.
Akapapenda pale kwangu maana palikuwa ni karibu na wanakotegea maji, akanilipa 19M kuweka yard tuu. Akajenga na maofisi ya mabati na mbao pale pale kwangu, na vyoo vya muda yaani kiufupi akapaendeleza japo hakuweka miundombinu ya kudumu. Alikuwa anajenga ofisi za mbao na karakana za mabati.

Viwanja ulikuwa ni mradi wa serikali, serikali imekata viwanja inaviuza kutanua mji. Yaani serikali ilikuwa inabembeleza watu kununua viwanja vile, maana palikuwa pori, kula mtu anasema aah nikakae na nyani kule porini. 😁

Mradi ulipoisha Muhindi, aliniachia manyumba yale ya mbao, mabati kibao na mavyuma chakavu kama yote. Niliuza mavyuma yale, makorokoro kibao. Screpa kibao nilipima aisee, mafundi mchundo wa majiko, kuchomelea walikuwa wanashinda pale kusafisha yard. Nikapata mtaji wa kuvimbia mjini mpaka leo.
Mpaka leo panafahamika kama Majengo kwa Wahindi. Sasa hivi hakuna viwanja kuna manyumba ni mji mpya. Ila mimi bado napangisha yard. 😁

Ukitaka kiwanja mitaa ile, kwa wale ambao hawajajenga basi mnaanzia 8M kwenda juu, hapo ana shida zake muuzaji. 😋

Ardhi ni mali. Ardhi haiongezeki, watu ndio wanaongezeka. Sasa hivi hata ukinambia kuna eneo mlimani unauza, nakuja kununua.
Uza uje vigwaza huku
 
Kichaka cha kukatia tamaa hiki, unakuta huna ramani au hutaki kuumiza kichwa unaamua kukabidhi lawama kwa shetani na kujificha kanisani muda wote kuimba, kuhubiria watu habari za baada ya kufa kwao huku ukikwepa lawama za jamii na ushauri wa jamii kujiongezea kipato ili ubadili dunia yako pale ulipo.

MKuu vitabu vya dini pia vinachukia umasikini, vinachukia uzembe, vinachukia kutokuchua hatua, vinachukua mtu asietumia akili (maarifa) na hapo vikamalizia kwa kusema watu wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa.
Au sio
 
Ndio, huo ndio ukweli. Imani isikufanye kuieguza kichaka cha kutokuwa responsible.
Eti duniani tunapita, alievumbua hiyo simu unayotumia kuchat humu angewaza vile unavyowaza ungekuwa nayo?
 
Kwahiyo kuwa responsible ni kununua viwanja? Mbona kuna mambo mengi sana ya msingi ya kufanya?
 
Basi kama unajua hivyo mjadala umeisha, nilitaka yale mawazo yako ya kutaka watu washinde kanisani pekee na kulia na kumlaumu shetani kwa kila jambo yakutoke. Nashukuru kumbe yamekutoka. Tuendelee mkuu na mambo mengine sasa
 
mkuu m na kaka tulinunua mbweni 2007
M9 na m14 viwili majina tulishare kukiwa na manyasi mpaka kiunoni majuzi tumengoa kimoja 130000
 
Back
Top Bottom