sehem gani nije kuzichukuaMkuu nina heka zangu 50 huku namtumbo vijijini..nipe tu laki moja kwa kila heka nkuachie
Mwisho wa siku yote ni kujilisha upepo, tafuteni uzima wa milele.
Una akili sana mkuu! Aya ndio Mambo ya kujadili sio udini na upuuzi mwingineMiaka ya 2005-2008 nilikuwa napita sana barabara ya Goba-Makongo Juu hadi Chuo. Kipindi hicho lile daraja la Goba kwenda Makongo Juu halijajengwa.
Plus ujana ulikuwa bado mwingi nikapuuzia tu eneo hilo.
Itoshe tu kusema yalikuwa mapori, viwanja hata kuanzia 1mln kushuka chini ulikuwa unapata vikubwa tu. Goba kalikuwa kakijiji leo nikipita huwa naumia sana.
Ni kweli hata leo unaweza kupata maeneo hapo Goba lakini kwa gharama kubwa sana.
Eneo ambalo hasa nyumba zilikuwa zimejengwa ni Makongo juu na wengi inaonekana walipachukulia poa sana Goba ila baada ya barabara ya lami tu kupita na madaraja kujengwa daaah maeneo yakawa hayashikiki.
Kuanzia miaka ya 2010s nilipoanza ujenzi Salasala nikawa napitapita sana njia ya Madale kukiwa pori kipindi hicho barabara ya vumbi wakati wa masika hupiti na gari hilo tope.
Hapo ndipo nikasema sifanyi tena makosa ya Goba, nikajichanganya na madalali na wenyeji nikapata viwanja vikubwa hapo Madale kukiwa bado pori.
Sasa hivi lami imepita Madale, leo ukifika Madale viwanja vimepanda bei sana na inaenda kuwa kama Goba.
Ukweli ni kwamba mpaka leo sijaheal kwa yaliyonikuta Goba. Hapo Dar na Pwani usiseme sehemu mbali, mbali kutokea wapi?
Na sio tu Dar na Pwani popote pale nunua ardhi ili mradi inafaa kwa makazi au kilimo.
Usiseme hakujachangamka nunua tu, wewe ni miongoni mwa watakaopachangamsha. Twenzetu Mabwepande.
Kwa niaba ya Chama Cha Mashangazi dhambi zao zitabebwa na Lucas Mwashambwa mtoto mwenye msambwanda uliofichwa kwenye kijora cha kijani wewe Lucas kenge wa Shamia Khalifa kende zako rudisha pumbu zetu kwenye ofisi za wanaumeNitukanie ma X wote akiwemo chama chawala😂
Kuna mijumba Mikocheni na masaki inaweza kaa bila mpangaji miezi 6, wakati huku skwata nyumba haikai siku 3 bila mpnagaji!Ubaya huko ni skwata
Dah😂Kwa niaba ya Chama Cha Mashangazi dhambi zao zitabebwa na Lucas Mwashambwa mtoto mwenye msambwanda uliofichwa kwenye kijora cha kijani wewe Lucas kenge wa Shamia Khalifa kende zako rudisha pumbu zetu kwenye ofisi za wanaume
Shabhashhhh
😅😅😅
Sinza kulikuwa na wanyamaporiHata wa Migomigo miaka hiyo waliiona Sinza na Mwenge kama mashamba ya mikorosho na minazi...
Ujenzi holela ndio unafanya bei ya ardhi ipae kwa ghafla...
Mwaka majuzi ile kama Kuna story zilizuka sijui Goba kaonekana chui kama ulisikia iliishiaje au ilikua chai?Sinza kulikuwa na wanyamapori
Ni kama zile tu za mtu joka wa BuguruniMwaka majuzi ile kama Kuna story zilizuka sijui Goba kaonekana chui kama ulisikia iliishiaje au ilikua chai?
Hahaha ila wabongo kwa kutunga visa hawajambo yaani nakuapia ikiletwa challenge ya muendelezo wa safari za Sinbad na visa vya abunuwasi kuna tuzo tutanyakua sio bure!Ni kama zile tu za mtu joka wa Buguruni
Mwaka 2009 nilinunua pori kwa laki 3 leo hii nikitaka 50m ya chap napata.Miaka ya 2005-2008 nilikuwa napita sana barabara ya Goba-Makongo Juu hadi Chuo. Kipindi hicho lile daraja la Goba kwenda Makongo Juu halijajengwa.
Plus ujana ulikuwa bado mwingi nikapuuzia tu eneo hilo.
Itoshe tu kusema yalikuwa mapori, viwanja hata kuanzia 1mln kushuka chini ulikuwa unapata vikubwa tu. Goba kalikuwa kakijiji leo nikipita huwa naumia sana.
Ni kweli hata leo unaweza kupata maeneo hapo Goba lakini kwa gharama kubwa sana.
Eneo ambalo hasa nyumba zilikuwa zimejengwa ni Makongo juu na wengi inaonekana walipachukulia poa sana Goba ila baada ya barabara ya lami tu kupita na madaraja kujengwa daaah maeneo yakawa hayashikiki.
Kuanzia miaka ya 2010s nilipoanza ujenzi Salasala nikawa napitapita sana njia ya Madale kukiwa pori kipindi hicho barabara ya vumbi wakati wa masika hupiti na gari hilo tope.
Hapo ndipo nikasema sifanyi tena makosa ya Goba, nikajichanganya na madalali na wenyeji nikapata viwanja vikubwa hapo Madale kukiwa bado pori.
Sasa hivi lami imepita Madale, leo ukifika Madale viwanja vimepanda bei sana na inaenda kuwa kama Goba.
Ukweli ni kwamba mpaka leo sijaheal kwa yaliyonikuta Goba. Hapo Dar na Pwani usiseme sehemu mbali, mbali kutokea wapi?
Na sio tu Dar na Pwani popote pale nunua ardhi ili mradi inafaa kwa makazi au kilimo.
Usiseme hakujachangamka nunua tu, wewe ni miongoni mwa watakaopachangamsha. Twenzetu Mabwepande.
Hahahaha😂Hahaha ila wabongo kwa kutunga visa hawajambo yaani nakuapia ikiletwa challenge ya muendelezo wa safari za Sinbad na visa vya abunuwasi kuna tuzo tutanyakua sio bure!
😂😂😂
Sijui sana ila kwa uzoefu wangu wilaya ya Kinondoni kuwakuta Wazaramo ni hadimu sana.Mabwepande wazaramo kibao kule siendi mkuu