G
Tatizo siyo kila maeneo yana panda thamani mkuu ,hicho watu hawataki kuambiwa..kumbuka tanzania kuna mapori mengi mnoo na kwa mtazamo huo kwamba kila eneo linapanda thamani,mababu zetu kule vijijini wasinge kufa masikiini.Kwenye kununua maeneo nilicho jifunza unatakiwa kuwa roho ya maamuzi magumu
Sio kwq mabwepande mkuu ile ni next levelSehemu siyo mpaka uishi speed ndogo ya kufikili jenga pangisha
Umlilie nani? Aliekuambia maeneo hayapandi thamani nani? Au unataka uweke hela leo mwakan iongezeke bei 2 timez?. Kuna eneo nilitupa kias kidogo cha pesa mwaka 2023 mwishoni kama milion moja na laki 2 hiv mwasonga. Leo hii kuna milion 3 mezanui na siuziTatizo siyo kila maeneo yana panda thamani mkuu ,hicho watu hawataki kuambiwa..kumbuka tanzania kuna mapori mengi mnoo na kwa mtazamo huo kwamba kila eneo linapanda thamani,mababu zetu kule vijijini wasinge kufa masikiini.
Hivo kuna factors muhimu za kuzingatia unapo nunua hayo maeneo,siyo unakupuka tu unaenda kununua eneo mpwapwa vijijin kisa eti yanapanda bei..utakuja ulie
Njoo nkuuzie mapori mkuu huku namtumbo hata kwa heka nipe elf 5o.Umlilie nani? Aliekuambia maeneo hayapandi thamani nani? Au unataka uweke hela leo mwakan iongezeke bei 2 timez?. Kuna eneo nilitupa kias kidogo cha pesa mwaka 2023 mwishoni kama milion moja na laki 2 hiv mwasonga. Leo hii kuna milion 3 mezanui na siuzi
West Kilimanjaro plot kwa 6.8M miaka mitatu iliyopita.Kaja jamaa na idea za kitalii kapanunua kwa 42M..2003 Nilipelekwa kibaha kuoneshwa ardhi pale picha ya ndege. Nikafikq eneo husika ni robo kilometer kufika lami
Ile ardhi ilikuwa ekari moja na nusu kasoro.. Yule mzee alitaka 1M tena kwa instalments
Kwenye draw ya gari nilikuwa na na kama 1.2 haina kazi. Yule mzee akanisihi sana nisipaache pale mahali na kama nina laki 2 nimpe kwanza
Kuna kasauti kakaniambia moyoni achana naye huyo anakupanga kwani utakuja kuishi lini huku kwa ujinga wa ujana nikakasikiliza kale kasauti
Nikamwambia mzee Leo sina hela ila nakupa hii 20,000 ya usumbufu.. Akaipokea kisha akasema asante lakini ukiweza ongeza 80,000 itimie laki nikuwekee hii ardhi utanukumbuka. Nikagoma
Tukaondoka na mtu niliyekuja naye kufika Kibaha container bar tukapiga ugali samaki wa nguvu
Tukaondoka mpaka Mbezi kufika pale tukaanza kupiga maji.. Tukaondoka kwenye saa 9 mchana
Kufika saa 11 jioni tuko Mama land bar External .. Bata likaendelea
Saa tatu usiku tukanyanyua kuelekea Moshi Bar Goms! Hiyo haikuwa na come back
Siku iliyofuata kuangalia balance nina kama laki7 na ushee
Mwaka 2016 nikapata kazi Kibaha na kuamua sasa kujiwekeza baada ya ujinga kunitoka, nikasema niende kwa yule mzee
Kufika pale nikakuta palishauzwa na kukatwa viwanja vya 20 kwa 20
Kilikuwa kimebaki kimoja tu bondeni na bei ilikuwa million 3 haipungui hata mia😂
Mkuu nina heka zangu 50 huku namtumbo vijijini..nipe tu laki moja kwa kila heka nkuachieVijana wako Bize na wachuchu , ardhi hawaioni
Sema unataka nilale lock up😅😅Mkuu nina heka zangu 50 huku namtumbo vijijini..nipe tu laki moja kwa kila heka nkuachie
Bora leo nimeona comment yako, huwa naona likes zako tu Mkuu. Achana na mawigi kesho huwa ngumu au rahisi kulingana na unachofanya leoKuna kina sie tuvaa mawigi million, set ya lotion laki tano unamuachia director
Ni maeneo yangu halali mzee,Sema unataka nilale lock up😅😅
Ni sawa mtu ununue ma ekari ya maeneo Iragua na Mtimbila ndanindani huko Morogoro. Au huko Katavi ndani ndani Ukitegemea ardhi inapanda bei.Tatizo siyo kila maeneo yana panda thamani mkuu ,hicho watu hawataki kuambiwa..kumbuka tanzania kuna mapori mengi mnoo na kwa mtazamo huo kwamba kila eneo linapanda thamani,mababu zetu kule vijijini wasinge kufa masikiini.
Hivo kuna factors muhimu za kuzingatia unapo nunua hayo maeneo,siyo unakupuka tu unaenda kununua eneo mpwapwa vijijin kisa eti yanapanda bei..utakuja ulie
Ardhi inapanda thamani kila siku.
Kiwanja nilichonunua million 10 kwa masikitiko leo kuna mtu anakitaka ana million 150
Kingine lilikuwa shamba mkoani nilinunua barabarani million 5. Mwaka jana napigiwa sehemu kuna mtu anakitaka ajenge parking na petrol station ana
Hakika, hakikisha unaweza kadiria sehemu hii baada ya muda fulani patakuwa hivi au vileNi sawa mtu ununue ma ekari ya maeneo Iragua na Mtimbila ndanindani huko Morogoro. Au huko Katavi ndani ndani Ukitegemea ardhi inapanda bei.
Thamani ya ardhi inakua kulingana na ongezeko la watu.
Kama hakuna ongezeko na mwingiliano wa watu. Kuwekeza kwenye ardhi ni kupoteza muda.
Kabisa mkuu,sasa watu hawataki kuambiwa huo ukweli..ukiwaambia wanakasirikaNi sawa mtu ununue ma ekari ya maeneo Iragua na Mtimbila ndanindani huko Morogoro. Au huko Katavi ndani ndani Ukitegemea ardhi inapanda bei.
Thamani ya ardhi inakua kulingana na ongezeko la watu.
Kama hakuna ongezeko na mwingiliano wa watu. Kuwekeza kwenye ardhi ni kupoteza muda.
Namtumbo shamba elfu 50 heka nyingi sana hiyo. Mahari ya mtu huko mpaka elfu 20Njoo nkuuzie mapori mkuu huku namtumbo hata kwa heka nipe elf 5o.
Ongezeko la watu linaqeza kuwq ni last variable mzee. Mana ongezeko la watu ni mchakato wa urbanization. Factor za thaman ya ardhi kukua ni huduma za kijamii kwanza hasa usafiri na miundombinuNi sawa mtu ununue ma ekari ya maeneo Iragua na Mtimbila ndanindani huko Morogoro. Au huko Katavi ndani ndani Ukitegemea ardhi inapanda bei.
Thamani ya ardhi inakua kulingana na ongezeko la watu.
Kama hakuna ongezeko na mwingiliano wa watu. Kuwekeza kwenye ardhi ni kupoteza muda.