Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Umesema vyemaYote hayo kwajili ya kumuogopa nani??
Acheni watu waishi buana, kama anapost maudhui yasiyo ya ngono na hayamkeri mtu kwanini asifanye vile roho yake inapenda..
Kwamba siku akiishiwa hela akitaka umkopeshe utaanza kufukunyua post yake ya mwaka 2022 aliyopost anakula bata?,,
Acheni ushamba , wengi mnajifichia kwenye private life styles ilihali mnajua hamna vya kupost wala kushow off, ungekuwa navyo ungepost
More privacy more Peace.Yote hayo kwajili ya kumuogopa nani??
Acheni watu waishi buana, kama anapost maudhui yasiyo ya ngono na hayamkeri mtu kwanini asifanye vile roho yake inapenda..
Kwamba siku akiishiwa hela akitaka umkopeshe utaanza kufukunyua post yake ya mwaka 2022 aliyopost anakula bata?,,
Acheni ushamba , wengi mnajifichia kwenye private life styles ilihali mnajua hamna vya kupost wala kushow off, ungekuwa navyo ungepost
Not that only, kupost nayo ni hobby sio kila mtu anayo na mwisho wa yote hatuwezi kufanana namna ya kuishi.More privacy more Peace.
Tatizo watu tunajiogopa sanaUmesema vyema
Nimezipenda hizi π π :Usimwanike mtoto wako mtandao
Usimwanike mwenzi wako mtandaoni
Usianike mali zako mtandaoni.
Usianike bata zako mtandaoni.
Kuna siku utatamani kufuta itakuwa too late wenzako wameshadownload na kushare.
Kuna siku utahitaji msaada post zako mtandaoni zitakuhukumu.
Kuna siku utahitaji kazi , post zako zitakunyima kazi.
Ukiwa mtandaoni wewe kuwa mtazamaji tu, au tumia account ya siri kupost na kukoment vituko na vichekesho.
Siku ulibadili mwelekeo watu hawatakuelewa. Ni nature ya binadamu kuwa hawasahau.
Labda kama mitandao unaitumia kama maisha yako (content creator) ndio uwe halisi nako pia kuwa makini. Siku moja utahitaji kubadili life style contents zako zitakunyima usingizi.
Pia, haimaanishi wanaopost hawana privacy.Not that only, kupost nayo ni hobby sio kila mtu anayo na mwisho wa yote hatuwezi kufanana namna ya kuishi.
True , but more Privacy more peaceNot that only, kupost nayo ni hobby sio kila mtu anayo na mwisho wa yote hatuwezi kufanana namna ya kuishi.
Hiyo inaweza ikawa ni slogan yako tu kwasabu inakufaa mkuu, sio lazima kila mtu aishi privately,More privacy more Peace.
IlaaaaππWanaomshambulia mleta uzi kuwa muoga nao wameficha taarifa zao hapa JF ili wasijulikane. ππ
Inategemea na lifestyle yako, binafsi more privacy, more peace na ndio mfumo mzima wa maisha yangu mpaka ndugu huwa wananishangaa.True , but more Privacy more peace
Unaishi maisha mazuri Sana .Inategemea na lifestyle yako, binafsi more privacy, more peace na ndio mfumo mzima wa maisha yangu mpaka ndugu huwa wananishangaa.