Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Pimbi huyuAcha kuishi Kwa hofu mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pimbi huyuAcha kuishi Kwa hofu mkuu.
Hiyo siku ni lini Mkuu, na kwa nn tusiishi leo tuishi kwa kuhofia tusivyoviona. Fear of unknown. Aristote wa Wasafi alisema huna kitu cha kupost acha kusingizia private lifeUsimwanike mtoto wako mtandaoni. Usimwanike mwenzi wako mtandaoni.
Usianike mali zako mtandaoni. Usianike bata zako mtandaoni.
Kuna siku utatamani kufuta itakuwa too late wenzako wameshadownload na kushare.
Kuna siku utahitaji msaada post zako mtandaoni zitakuhukumu.
Kuna siku utahitaji kazi , post zako zitakunyima kazi.
Ukiwa mtandaoni wewe kuwa mtazamaji tu, au tumia account ya siri kupost na kukoment vituko na vichekesho.
Siku ulibadili mwelekeo watu hawatakuelewa. Ni nature ya binadamu kuwa hawasahau.
Labda kama mitandao unaitumia kama maisha yako (content creator) ndio uwe halisi nako pia kuwa makini.
Siku moja utahitaji kubadili life style contents zako zitakunyima usingizi.
Ni kweli wengine kabati zima lina shati kumi, suruali tano na viatu pair nne. Tunakula wali nyama kwa mpemba na weekend tunashinda ndani. Kwa hiyo tutapost nini zaidi ya kujiaibishaYote hayo kwajili ya kumuogopa nani??
Acheni watu waishi buana, kama anapost maudhui yasiyo ya ngono na hayamkeri mtu kwanini asifanye vile roho yake inapenda..
Kwamba siku akiishiwa hela akitaka umkopeshe utaanza kufukunyua post yake ya mwaka 2022 aliyopost anakula bata?,,
Acheni ushamba , wengi mnajifichia kwenye private life styles ilihali mnajua hamna vya kupost wala kushow off, ungekuwa navyo ungepost
Mimi pia ni mtu wa sirini sana, lakini sioni shida mtu akiamua kujiweka wazi mtandaoni ilihali hapost chochote kibaya.Sasa hapa unajichanganya,
Uhuru ni uhuru kama unaosema ila kuchagua kuna madhara,
Mtoa mada ndio anazungumzia madhara... Wewe unasema acheni watu waish na wajipost hapo hapo unasema mradi hawapost ngono..
Kila product kwenye social media ina consumer wake na wew kama unapenda kujipost ruksa..
Hata mtoa mada kuchagua vya ku post na kuto ku post ni kujinyima uhuru, wacha watu wastarehe kwenye social media
Ni dunia huru na kila mtu anachagua kinachomdhuru kwa kiasi anachoweza kuvumilia
Ni kweli wengine kabati zima lina shati kumi, suruali tano na viatu pair nne. Tunakula wali nyama kwa mpemba na weekend tunashinda ndani. Kwa hiyo tutapost nini zaidi ya kujiaibisha
Ila ni nini dhumuni la kupost maisha yako daily
Kuna mtu tunajua anafanya kazi wapi, anakula nini, ana handgout wapi, tabia za watoto wake, familia nyumbani.. Yani kila kitu kipo whatsap status ama Instagram
Ni nini faida ya kufanya hivi au ukienjoy moments zako bila kufika mtandaoni kuna nini kinapungua?..
Maana ni wachache wanapata pesa kupitia online platforms kama influencers, wengine huwa kuna faida gani wanaipata?..
Faida ya kupost ni ipi!? Unapost ili iweje? Mleta uzi kaandika mambo ya msingi sana maana tunaishi Afrika, huku mambo ni tofauti sana.Yote hayo kwajili ya kumuogopa nani??
Acheni watu waishi buana, kama anapost maudhui yasiyo ya ngono na hayamkeri mtu kwanini asifanye vile roho yake inapenda..
Kwamba siku akiishiwa hela akitaka umkopeshe utaanza kufukunyua post yake ya mwaka 2022 aliyopost anakula bata?,,
Acheni ushamba , wengi mnajifichia kwenye private life styles ilihali mnajua hamna vya kupost wala kushow off, ungekuwa navyo ungepost
Watu wanajiskia tu mkuu na ndicho kinachowapa furaha, nadhani hata waliotengeneza hii mitandao hawakulenga tu itumiwe na hao influencers pekeyao,.Ni kweli wengine kabati zima lina shati kumi, suruali tano na viatu pair nne. Tunakula wali nyama kwa mpemba na weekend tunashinda ndani. Kwa hiyo tutapost nini zaidi ya kujiaibisha
Ila ni nini dhumuni la kupost maisha yako daily
Kuna mtu tunajua anafanya kazi wapi, anakula nini, ana handgout wapi, tabia za watoto wake, familia nyumbani.. Yani kila kitu kipo whatsap status ama Instagram
Ni nini faida ya kufanya hivi au ukienjoy moments zako bila kufika mtandaoni kuna nini kinapungua?..
Maana ni wachache wanapata pesa kupitia online platforms kama influencers, wengine huwa kuna faida gani wanaipata?..
Yes. Hiyo life style ni nzuri, inakuepusha na mambo mengi. Ukijiweka wazi sana unakaribisha maneno au comments za: Anajidai eti anazo; Anajiona sana, Amejaa dharau, Ni mbahili sana, Hana lolote anajimwambafai bure tuu, Hataki kujichanganya na watu eti ameendelea na maneno meeeengi........Inategemea na lifestyle yako, binafsi more privacy, more peace na ndio mfumo mzima wa maisha yangu mpaka ndugu huwa wananishangaa.
Kila mtu anapost kwa matakwa yake mwenyewe na kujifurahisha mwenyewe .Faida ya kupost ni ipi!? Unapost ili iweje? Mleta uzi kaandika mambo ya msingi sana maana tunaishi Afrika, huku mambo ni tofauti sana.
sasa kila mtu akibaki kusoma, maudhui ya kusoma yatatoka wapi?mleta bandiko ajakataa kula bata wala kuonesha katahadharisha kesho unaweza teteleka ukaomba msaada watu wakatumia picha zako za zamani ukila bata kukunyima msaada
ila 90% watu hupost wakila raha ili hali wana maisha magumu mnooo
nimewahi amka asbh kuna ile hali ukungu na baridi sana (njombe ndani ndani huko) nikajipiga picha nikaandika niko S. Afrika ndo nataka rudi bongo
wale wa ku view status kimya kimya siku iyo waliniulza nimeenda lini na nageuka lini
kwa mfano huo hata nikiomba msaada nimekwama nani atanipa anajua mambo yangu yako vzr
Kusocialize ni kuzuri sana ila napo kuwe na mipaka, ukiwa mwepesi sana kuingilika pia nayo ni mbaya watu watakutumia kwa manufaa yao.Yes. Hiyo life style ni nzuri, inakuepusha na mambo mengi. Ukijiweka wazi sana unakaribisha maneno au comments za: Anajidai eti anazo; Anajiona sana, Amejaa dharau, Ni mbahili sana, Hana lolote anajimwambafai bure tuu, Hataki kujichanganya na watu eti ameendelea na maneno meeeengi........
Kumbe ukijikalia kwako privately na familia yako kama ww ni mnywaji waweza bado hata kunywa hapo nyumbani, kumbe ukijipeleka klabu(public) ni rahisi kushawishika kingono, kuzua ugomvi, kujikuta unashabikia umbeya n.k. n.k. au unastukia umeingia kwenye gharama zisizo za lazima e.g. kutoa offers, kumkubalia mtu mkopo, kuingia ktk mipango hovyo au isiyo na tija kwako e.g. betting n.k.
Kwa sababu ya binadamu?Siku moja utahitaji kubadili life style contents zako zitakunyima usingiz
Bora wewe umejisemea zako ukweliUkweli anepost anataka watu waone kwa malemgo mbali mbali aidha:
1. Kumlingishia mwenzie, kuna watu wamekua katika kunyamyaswa na familia ndg na jamaa lazima atake kuonesha hatak tena manyanyaso
2. Ku influence watu (mtu kajenga kajumbankazuri au kagari) anaweza post uhamsike nawe ufnaye kama yeye
3. Kuonesha furaha yake dhidi ya kitu alichopata au madhari aliyopo (sharing
Ila sasa asilimia 90% wanaotizama hizo post niamin mm huwa wananuna, wanasonya, wanaharibikiwa kabisa mood.
Kwa kuthibitisha hilo post kitu kizuri kisha sema woow thank you God (utapata likes kiduchu na maoni kiduchu).
Ila post kitu sema Khali yangu tia maji, (onesha una shuda au majuto)
Ase comments na likes hapo zitatiririka balaa...hii inamanisha wazi watu wanapenda kusikia una chamgamoto na sio mafanikio au furaha.
So watu wafurahie tuuuuuu
😀😂mleta bandiko ajakataa kula bata wala kuonesha katahadharisha kesho unaweza teteleka ukaomba msaada watu wakatumia picha zako za zamani ukila bata kukunyima msaada
ila 90% watu hupost wakila raha ili hali wana maisha magumu mnooo
nimewahi amka asbh kuna ile hali ukungu na baridi sana (njombe ndani ndani huko) nikajipiga picha nikaandika niko S. Afrika ndo nataka rudi bongo
wale wa ku view status kimya kimya siku iyo waliniulza nimeenda lini na nageuka lini
kwa mfano huo hata nikiomba msaada nimekwama nani atanipa anajua mambo yangu yako vzr
Nataka nikuanike juani 😅Kwa sababu ya binadamu?
Wakati hujawa serious kubadilika
Excellent. Una msimamo wako na unauheshimu huo na huyumbishwi hovyo.Kusocialize ni kuzuri sana ila napo kuwe na mipaka, ukiwa mwepesi sana kuingilika pia nayo ni mbaya watu watakutumia kwa manufaa yao.
Mimi hata nikisemwa kwa namna navyoishi huwa sijali kwa sababu n maisha yangu. Kuyaanika maisha yako ni kipaji ambacho sio kila mtu anacho hasa sisi wanaume.
Kuna mambo nimewahi kusemwa nayo sana lakini kwangu kikubwa ni jambo kufanikiwa iwe kwa uwepo au bila uwepo wa wengine.
Maisha yanataka hivyo, ukiwa mtu wa kuishi wengine watakavyo ni mateso, itakugharimu pasipo lazima na unaepitia hali zote ni wewe sio wao.Excellent. Una msimamo wako na unauheshimu huo na huyumbishwi hovyo.