Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Ngoja nikwambia,Mimi pia ni mtu wa sirini sana, lakini sioni shida mtu akiamua kujiweka wazi mtandaoni ilihali hapost chochote kibaya.
Na kwanini watu muwaze negatively mda wote, mtu kama sio muhalifu wala mshenzi mshenzi unahofia nini?
Tupe kwanza wewe mfano kwanini ujiweke sirini unaogopa nini, Ili na wengine wajifunze maana wote naona maandika lakini hampo specific ni kitu gani hasa mnakiogopa
Mimi nilianza kuingia kwenye internet for the first time 2003....
Kwahiyo kipindi hicho ni ku google na kuangalia pornographics..
Sasa mitandao ilipanza tukaanza kusave majina yetu na picha zetu ... Karibu kila social networks miaka 6-7 baadae.
Wakati tunaanza kaz na kupata connections za maana, nikaona tunaanza kuwa monitored kwenye social media .
Zaidi sana nikaanza kuona hata medem tuliotongoza wana tu google..
Fast forward ni personal profile kwa public.. na security risk..
Ukipata watu wanaokuchukia au wanaokuwinda kukudaka ni sekunde..
Lakini zaidi ni kukwepa uwajibikaji kwa mambo yanayozuilika, na kuonekana moumbavu mbele ya watoto au watu wanaoku perceive tofaut..
Zipo faida nyingi sana za kuwa na maisha ya siri mbali na social media.
Ushauri wangu kama hupati pesa au kutengeneza kipato kupitia hayo achana huko..
Hata wanasiasa na wanamuziki na wafanyabiashara wajanja wanatumia majina na namba za siri kujua kinachoendelea..
Unakuwa na profile yako yenye official names alafu unakuwa na profile zako za kufanya mambo yanayoendana na wewe kwa ndani, the inner you.
Kwa sasa mimi majina yangu na pich zangu hazionekani popote zaidi ya ile media ya wanafiki ya LinkedIn 😂, na Kidoogo Quora .(Wachache sana wanaijua)
The world is brutal...anything can be used against you.
Ahsante