Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Upo sahihi hakuna asie na privacyPia, haimaanishi wanaopost hawana privacy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi hakuna asie na privacyPia, haimaanishi wanaopost hawana privacy.
Na nayapenda sana haya maisha.Unaishi maisha mazuri Sana .
HahahahIlaaaa😂😂
Ngoja waje kukupa muongozoTatizo watu ni wabishi kinoma
kikubwa ni waonekane wamechangia hoja 😃😃 faragha muhimu bhanaWanaomshambulia mleta uzi kuwa muoga nao wameficha taarifa zao hapa JF ili wasijulikane. 😂😂
watu wanauza taarifa zao bei rahisi wakigeuzwa stori mitaani wanaanza kuita watu wanafikiNimezipenda hizi 👇 👇 :
Usimwanike mtoto wako mtandao
Usimwanike mwenzi wako mtandaoni
Usianike mali zako mtandaoni.
Usianike bata zako mtandaoni.
Ni kweli na sahihi kabisa. Wewe unapolia au unapopitia mapito magumu ujue wapo wanaofurahi i.e. roho zao husuuzika kwa hali mbaya inayokukabili. Watakupa pole za kinafiki.
Unapojionesha au kujiweka wazi ujue unajiandalia maadui kwani sio wote watafurahia au wanapenda uwenavyo yan wanasononeka na kukereka ni watu wenye husda au roho ya kwa nini.
😂😂😂😂😂mleta bandiko ajakataa kula bata wala kuonesha katahadharisha kesho unaweza teteleka ukaomba msaada watu wakatumia picha zako za zamani ukila bata kukunyima msaada
ila 90% watu hupost wakila raha ili hali wana maisha magumu mnooo
nimewahi amka asbh kuna ile hali ukungu na baridi sana (njombe ndani ndani huko) nikajipiga picha nikaandika niko S. Afrika ndo nataka rudi bongo
wale wa ku view status kimya kimya siku iyo waliniulza nimeenda lini na nageuka lini
paragraph ya mwisho inabidi mtu ujifunze watu wanakufatilia sana wanasubiri uwashitue😃mleta bandiko ajakataa kula bata wala kuonesha katahadharisha kesho unaweza teteleka ukaomba msaada watu wakatumia picha zako za zamani ukila bata kukunyima msaada
ila 90% watu hupost wakila raha ili hali wana maisha magumu mnooo
nimewahi amka asbh kuna ile hali ukungu na baridi sana (njombe ndani ndani huko) nikajipiga picha nikaandika niko S. Afrika ndo nataka rudi bongo
wale wa ku view status kimya kimya siku iyo waliniulza nimeenda lini na nageuka lini
Sasa hapa unajichanganya,Yote hayo kwajili ya kumuogopa nani??
Acheni watu waishi buana, kama anapost maudhui yasiyo ya ngono na hayamkeri mtu kwanini asifanye vile roho yake inapenda..
Kwamba siku akiishiwa hela akitaka umkopeshe utaanza kufukunyua post yake ya mwaka 2022 aliyopost anakula bata?,,
Acheni ushamba , wengi mnajifichia kwenye private life styles ilihali mnajua hamna vya kupost wala kushow off, ungekuwa navyo ungepost