Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ntakufua bila sabuni😂🤣🤣🤣 Utanifanya nini kwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntakufua bila sabuni😂🤣🤣🤣 Utanifanya nini kwani?
ðŸ¤Siyo unifunze kuwa mpole,jaman🙌🤣🤣Ntakufua bila sabuni😂
Kabisa huwezi kumridhisha binaadamu,na kamwe huwezi kukwepa midomo ya binaadamu au kusemwa vibaya, huyo mungu aliyewaumba ila bado wanamsema , ishi maisha yako feel freeAcha kuishi Kwa hofu mkuu.
Ni jino kwa jino tu kama hukufunzwa kwenuðŸ¤Siyo unifunze kuwa mpole,jaman🙌🤣🤣
😔Am done...u gonna kill me🙌Ni jino kwa jino tu kama hukufunzwa kwenu
Acha uoga😔Am done...u gonna kill me🙌
😳Are you serious?Acha uoga
Ila mambo mengine ni kujifedhehesha tu na ubaya mitandao haisahau. Kinachopstiwa kinaacha risiti, huwezi kubishaNchi inatakiwa ichangamke hii, unataka tukose connection za waungwana sasa.!! 😹
Madilu alikuwa hapost chochote na kiongozi muadilifu lakini kimada wake akauza connection kwa Mangeanalia anatetemeka binti alivyompagawisha, na yule baba Askofu naye genye zimemsaliti kaletwa nginjanginja analia anamsifia kondoo wake alivyonona 🤣🤣🤣
Ila we kupiga wanaume unaona sawa sio?😳Are you serious?
Wa jino kwa jino...tumezeeka sasa ..tufe kwa amani siyo karate
Mimi nikiwa mwenyewe na post lakini nikiwa na family na watoto sijawahi sana sana huwa na share kwenye group la familia (wasap)ungekuwa navyo ungepost
Yeah chamsingi kila mtu aishi maisha yakeMimi nikiwa mwenyewe na post lakini nikiwa na family na watoto sijawahi sana sana huwa na share kwenye group la familia (wasap)
Pia mimi mwenyewe kuna sehemu siwezi post hata nikiwa mwenyewe tu kama Bar,Hoteli nakula,Swimming pool na sehemu zozote nzuri(za bata)
Badala yake huwa na post kazi zangu za shamba ufugaji na vitu kadhaa ambavyo vinaweza saidia watu wengine kupitia mimi.
Hata wife nishapiga marufuku kupost watoto na issue za family mitandaoni.
Kwenye maisha kila mtu aishi anavyoona inafaa wengine ndo hivyo tu akipanda ndege picha kama saba kwenye status nk yaani kila mtu mambo yako anayajua. Kwangu mimi sio sawa.