ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
Operation au yale masponji wanavaaga?[emoji41][emoji41]Hakuna haja ya kutoa povu kamanda hasa kwenye uzi wa furaha na shamra shamra kama huu...
View attachment 1061605
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Na kama unamzimikia ni haki yako. Kila mtu ana taste yake kwenye haya mambo na usilazimishe ukipendacho wewe na wengine wakipende. Na kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. Binafsi nikiona demu huko nyuma alikuwa flati skrini na sasa amejishindilia haya manyama ya Mchina huwa sina mzuka kabisa. Sad...[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1061606
Sent using Jamii Forums mobile app