Gemu lile linakwenda kwa kasi sana. Wakizoeleka tu na mauzo yakapungua basi ndo imetoka hiyo. Uzuri ni kwamba kila siku mabinti wadogo wanamiminika kwenda Hollywood wakiwa na ndoto za kuwa mastaa wa sinema. Wakifika huko wanakuta maisha magumu na ili kujikimu wanajikuta wameishia kwenye manight clubs kutingisha matako, Vegas kupiga umalaya na hata kuishia kwenye gemu lenyewe. Miezi mitatu tu unakuta mtu keshavurugwa na akina Adriano na kutoka hapo ni downhill hutamuona tena; japo kuna wengine wachache hukubalika zaidi na "mashabiki" na kudumu kwa muda mrefu. Hawa husaini mikataba ya mpaka hata miaka mitatu na studio kabisa ili kuwa salama kazini...