Usichukulie poa, nyumba ni choo

Status
Not open for further replies.
Mnapenda Tgo tu
 
Hata ukiwa zako beach [emoji3553][emoji2513] umetulia zako pembeni unapunga upepo ukishuhudia uumbaji wa mwenyezi Mungu wakiwa na mavazi yao ya kibabe kabisa ukienda zile beach za wazungu weng wala hutoenjoy sana huo uumbaji wewe nenda zile beach zetu mfano Coco pale utafurahia uumbaji vizuri sana
 
Hapo ndio umethibitisha kweli wewe ni mpare og.
Nilishangaa comment yako ya ya mwanzo, yaani mshana na akili zake timamu ameamua kua mpenzi wa tumshakaki twa miamia kweli?
Yaani hivihivi mshana aisaliti kambi?
Dah..[emoji23]
 
Mimi mwanamke akiwa na sura nzuri tu baaaas kanikamata. Hayo makalio kusema kweli mimi sina kazi nayo kabisa.

Mnaosema Sura hata mbuzi anayo, nawakumbusha pia makalio hata ngedere wanayo!
Ngedere ana kalio sio tako mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…