Usichukulie poa, nyumba ni choo

Usichukulie poa, nyumba ni choo

Status
Not open for further replies.
Je wajua kwanini wanaume wanawapenda wanawake waliojaliwa na makalio makubwa ?

Katika majarida mengi umewaona wanaume wakikodolea macho picha za wanawake wenye makalio makubwa iwe ni kim Kardashian, Jenipher Lopez Nicki Minaj na Vera Sidika kutoka Kenya .

Sasa basi Utafiti umedhibitisha kuwa ni kweli wanaume wanapenda wanawake waliojaaliwa sehemu ya nyuma.

Kulingana na utafiti wa chuo kikuu Bilkent , chuo kikuu cha Texas, na chuo kikuu cha American University kilichoko mjini Beirut

Wanaume wanakisia kuwa mwanamke mwenye makalio makubwa anaweza kufanya kazi kwa bidii zaidi ya mwanamke ambaye hana makalio makubwa.

Hata hivyo kinachowavutia wanaume si makalio haswa bali ni kupinda kwa uti wa mgongo unaosababisha tako kuonekana zaidi.

Utafiti huo unasema kuwa upinde wa 45.5 ndio unaovutia wanaume zaidi.

Wanaume walioneshwa picha za makalio ya wanawake wengi na asilimia kubwa iliwapendelea wanawake wenye makalio yaliyopinda kwa kiwango cha 45.5

Aidha zaidi ya asilimia 30% walisema wangalimchukua mwanamke mwenye makalio makubwa zaidi ya yule waliye naye sasa.

Kwa mujibu wa utafiti huo katika miaka ya awali mwanamke aliyeonekana kuwa na makalio makubwa alipendelewa kutokana na uwezo wake wa kubeba mizigo mgongoni.

Isitoshe mwanamke kama huyo aliwavutia wanaume wengi na hivyo kuwa na uwezo wa kuzaa watoto wengi.

Aidha mwanamke mwenye makalio makubwa angeweza kustahili uzito wa mtoto aliyebebwa tumboni na hata kustahilimi makali ya uzazi kuliko wale wenye makalio wastani.View attachment 2090385View attachment 2090386View attachment 2090388
Mizigo Kama mizigo aisee ,
 
Halafu wadada kama hauna kishundu jeuri ya kuvaa dela unaipata wapi [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
[emoji39][emoji39]mniue tu
Screenshot_2022-01-19-10-13-27-72.jpg
 
Kama kalio lingekuwa linalipa hata Tulia angelilitafuta badala ya kuutafuta usipika, Akii kalio sio chochote wala halilipi kabisa 😄😄
 
Je wajua kwanini wanaume wanawapenda wanawake waliojaliwa na makalio makubwa ?

Katika majarida mengi umewaona wanaume wakikodolea macho picha za wanawake wenye makalio makubwa iwe ni kim Kardashian, Jenipher Lopez Nicki Minaj na Vera Sidika kutoka Kenya .

Sasa basi Utafiti umedhibitisha kuwa ni kweli wanaume wanapenda wanawake waliojaaliwa sehemu ya nyuma.

Kulingana na utafiti wa chuo kikuu Bilkent , chuo kikuu cha Texas, na chuo kikuu cha American University kilichoko mjini Beirut

Wanaume wanakisia kuwa mwanamke mwenye makalio makubwa anaweza kufanya kazi kwa bidii zaidi ya mwanamke ambaye hana makalio makubwa.

Hata hivyo kinachowavutia wanaume si makalio haswa bali ni kupinda kwa uti wa mgongo unaosababisha tako kuonekana zaidi.

Utafiti huo unasema kuwa upinde wa 45.5 ndio unaovutia wanaume zaidi.

Wanaume walioneshwa picha za makalio ya wanawake wengi na asilimia kubwa iliwapendelea wanawake wenye makalio yaliyopinda kwa kiwango cha 45.5

Aidha zaidi ya asilimia 30% walisema wangalimchukua mwanamke mwenye makalio makubwa zaidi ya yule waliye naye sasa.

Kwa mujibu wa utafiti huo katika miaka ya awali mwanamke aliyeonekana kuwa na makalio makubwa alipendelewa kutokana na uwezo wake wa kubeba mizigo mgongoni.

Isitoshe mwanamke kama huyo aliwavutia wanaume wengi na hivyo kuwa na uwezo wa kuzaa watoto wengi.

Aidha mwanamke mwenye makalio makubwa angeweza kustahili uzito wa mtoto aliyebebwa tumboni na hata kustahilimi makali ya uzazi kuliko wale wenye makalio wastani.View attachment 2090385View attachment 2090386View attachment 2090388
Nyama nyingi chips kidgo hatar sana hivyo vitu, mods naombeni mniondolee ban ya jukwaa la picha tafadhali.
 
Hujawahi kula tule tumshkaki twa miamia wewe[emoji23]
hivi unakula mara chache chache sio kila mara as ni mishkaki ya hamu tu. So flat inatumika mara chache kutoa hamu tu ila sio muda wote unakula tumishkaki twa mia mia. Ofkoz sio sasa mshkaki mnene km nn ishu ina kilo 90 sijui 100 haipendezi aisee inapoteza radha ya kuila kwa haraka sana.
 
yaani kama ni pepo basi hili pepo la kalio kubwa lina nguvu sana asikudanganye mtu wanaume tunapenda mwanamke mwenye kalio na akipita usipogeuga yaan unahisi na kujiona kabisa kama umepungukiwa na kitu hivi na kama hujageuka physical basi kindanindani ya moyo na ubongo umeshageuka kitambo sana na kama ni dhambi dah hii dhambi hakuna mwanaume ambaye hajafanya labda awe na kasoro lakini kama amekamilika atajizuia kwa vile mke wake upo Jirani tu la sivyo anageuka hata kwa kuibia kijicho kengeza atapiga chabo
Binafsi siwapendi akipita namwangalia tu anavyojibinua kama unavyoweza kumwangalia chatu anavuka barabara.
 
Mimi mwanamke akiwa na sura nzuri tu baaaas kanikamata. Hayo makalio kusema kweli mimi sina kazi nayo kabisa.

Mnaosema Sura hata mbuzi anayo, nawakumbusha pia makalio hata ngedere wanayo!
Sura nzuri, tako wastani, mguu, kimo na mwisho sauti nzuri, mengine ni ya ziada tu na unaweza kuyavumilia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom