mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawasiliano yke Vp ulipotezaHuyu nilimkosa chupu chupu mkuu, mpaka leo najutia tu, kitambo sijamtia machoni, nimesikia katimkia Zenji.
Huyu nilimkosa chupu chupu mkuu, mpaka leo najutia tu, kitambo sijamtia machoni, nimesikia katimkia Zenji.
Achaaa! Kazeeka nini now ?
SIo mkubwa ni mdogo tu, kipindi hicho alikua ana kama 20 na kitu. hata 25 hajafika bado.
Asee ulichezea nafasi mkuu.