SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Naomba niulize maana nmeona hii kauli mara kwa mara. Huo ufundi kwenye ile video uko wapi haswa maana naona ameegema tu kochi na Uncle akimaliza mpaka mwisho. Au nyie wenzangu mmeona video nyngne??
Sent using Jamii Forums mobile app