Usichukulie poa, nyumba ni choo

Usichukulie poa, nyumba ni choo

Status
Not open for further replies.
Nina raha isiyokuwa na kifani, tahafifu ya ugumu wa maisha na nafasi ya kufanya chochote kwani nimejaaliwa makalio.

Kila napopita vishingo vya jinsia nyingine hupinda, macho yanawatoka na mate yanawadondoka. Wengine hujikwaa na kuanguka, wapo wanapiga miruzi na kelele kama wendawazimu.

Nasindikizwa kwa macho kama malkia mpk natokomea.

Kwa mdada, bora unyimwe akili upewe makalio. Makalio ni zaidi ya PhD na ni zaidi ya mtaji.

Usiku mwema.
Dah,kumbe ndio akili ulizo nazo hizi?nilikuwa nakuona wa maaaaana.
 
Nina raha isiyokuwa na kifani, tahafifu ya ugumu wa maisha na nafasi ya kufanya chochote kwani nimejaaliwa makalio.

Kila napopita vishingo vya jinsia nyingine hupinda, macho yanawatoka na mate yanawadondoka. Wengine hujikwaa na kuanguka, wapo wanapiga miruzi na kelele kama wendawazimu.

Nasindikizwa kwa macho kama malkia mpk natokomea.

Kwa mdada, bora unyimwe akili upewe makalio. Makalio ni zaidi ya PhD na ni zaidi ya mtaji.

Usiku mwema.

Mbona makalio yenyewe hayapo? Uzi umejaza maneno tu au makalio ya kichina?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom